Vijipele kuzunguka uume

Kama vikavu ni normal na vinasaidia kumpa raha mwanamke ukisex bila kuvaa.
 
Kwani ukisema ni wewe kuna ubaya gani?
Haya hivyo vipele vinawasha au kuuma? Vinatoa majimaji iliyochanganyika na damu au usaha? Una homa? Ure last sexual contact? Na je ulitumia kinga? Ngozi kuzunguka hivyo vipele ni nyekundu? Kadiri mda unavoenda vinaeongezeka ki idadi?

Exactly iko hvi
 
Jamani ambatanisha na picha basi tuweze kuona vzr na kutoa ushauri vzr
 
Back
Top Bottom