Mkuu Mtambuzi umenena! Hii namba 2 inaninyima raha, kwakua huwa najikuta nashindwa kuangalia na matokeo yake unakua unaimagine kwa naana umeona kwa mbele tu. Hii namba 4 nayo ni muhimu sana, wanawake wenye busara wanapaswa kuacha waume zao watekeleze ahadi bila lawama! Labda cha msingi unaweza kumuuliza mumeo Kama anakumbuka kitu fulani ambacho hajatekeleza. Akisema anakumbuka basi muache na hupaswi kumtilia mashaka! Priority za mwanaume huwa hazifanani na za mwanamke, akina mama mnapaswa kulitambua Hilo!