20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,263
Habari wana MMU,
Katika maisha kila mtu amepitia mambo kadha wa kadha especial katika ulimwengu huu mapenzi katika zile trial and error za kusaka soul mate na mapito ya ujanani. Kama mjuavyo kuwa ujana ni maji ya moto basi nimeamua kushare ka story haka ka zamani, kamenijia akilini nikacheka.Nakumbuka zamani nilipomaliza shule, kuna jamaa fulani hivi kiumri kanizid more than five years hivi. Tulikuwa tukipiga mishe za kufundisha tuition madogo sehemu fulani hivi hapa jijini DAR. Kuna siku tumeenda kuchapisha mitihani kwenye waipige copy ili kesho yake weekend madogo wapige pepa.
Bana dada anaefanya kwenye stationary alikuwa ni maza flani hivi hot kidzaini na huyu Bro akawa anamtafutia timing amwage hoja zake, siku hiyo akanipa signal nistay nje wao wata type pepa zake na zangu, Nikaamua kutokana zangu nje, vuta kiti nkachukua na sodaa maana binti wa kichaga mjasiriamali.Nikiwa hapo njee, babaa alipita mtoto huyo, nikasema damn! Huyu angekuwa anakaa mitaa ya kishua angekuwa hatari zaidi ya hawa wana make headlines mjini.
Mtoto niseme kwa neno moja ni BATA-TWIGA kapanda hewani kama 5 feet, mwili umegawanyika kama chupa ya COCACOLA aisee, akawa anapita huku namcheki usoni ananicheki then anangalia chini hadi akapita nilipokuwa. Hasa kimbembe hapo chuma, utasema kama paka kafungwa kwenye mfuko wa rambo anahangaika anataka atoke, uzalendo ukanishinda nikamkimbilia, hata kumita nikaona soo nikamuwahi full ujasiri shika mkono.
Binti akasimama anangali chini kidogo, nikaeleza lengo ni kutaka maongezi naye, akanijibu ana haraka anawahi, nimsubiri akachukue unga mashineni, then atarudi. Itabida nimcheki kama anamaanisha au lah! Nikasema binti mimi sikai huku kwa sasa ila nakuja mara moja moja na hapa nilikua najindaa niwahi sehemu kama huji niambie nisepe, akasema nakuja nisubiri baada ya dakika 5, namuona binti anakuja kashika unga mkononi, akanipita na kusimama kwenye kona mbele kidogo akitoa ishara nimfuate, fika pale.
Nikasema huyu masual ya nakupenda atakuwa kaambiwa sana aiseee, sisemi hayo.Nikamake story namuonag mara kibao nawishi nipate muda chemba na wew kidogo tuweze badilishana mengi. Kakauliza maswali yake, miongoni mwa majibu ilikuwa ni kwamba namuonaga huku nikija kwa bro, nimejaribu kumuulizia bro kama ana mjua but hakufahamu, kaka uliza yule alindani ndio bro wako.
Nikaforce kingi yeah, akasema muongo, nyie wanaume waongo sana. Nikasem nikimpanga jamaa haje hapa asalimie tu, nimemaliza kazi, kuna madogo walikuwa wanacheza hapo nje. kila nikituma aitwe anasema anakuja then haji, kumbe nayeye ana zoza yake ndani, yakamshinda akatoka nje, akaja.Jamaa nilimpa signal kwenye sms hapo kaja kajiongeza. Kazi ilikuwa simple nikampiga demu kwenye kalio haya msalimie shemeji yako then demu kakachangamka kakatoa shikamoo. Jamaa akauelewa mzigo akapanga naye anataka aonje, akaleta idea twende kwenye gesti bubu moja hivi, nje kuna bar lengo tunywe soda ndivyo alivyo fahamu binti.
Kufupisha story wote tulikuwa team sayona, ikawa vinywaji vikapelekwa room plus misosi. Fika ndani ndo vijimambo vikaanza. demu hataki mlango ufngwe, maana alijua pale sisi tumepanga vyumba viwili so ishu ilikuwa fullu gesti bubu, hakuna chata lolote hata kwenye mashuka. Nikatumia maneno yote mlango ukafungwa na but hataki ufungwe na funguo, nimekomaa kupiga maneno yangu yote mlango ukafungwa but demu akaanza nitisha anataka akae karibu na mlango, mara aanze kunambia huogop umekatana namimi leo tumekuja kwako, duuh, maswali mengi yakaanza nikakaz.
Poa liwalo na liwe ngoja nile mzigo nisepe nampnga demu hapangiki, nikanza kupiga hesabu ya ule uzuri na maneno anayosema nikaanz kuona huyu anaweza kuwa jini, ngoja ninyanyuke nisepe. Nikisimama nakarishwa naaulizwa unaenda wapi..? Kaa hapo. Nikajaribu tena kusimama nikatulizwa tena, hasa huyu demu kuliwa mzigo hataki na hataki niondoke, huyu anataka kunila nyama huyu (kipindi hiko nilikuwa napenda sana article za kutisha) nikasema leo nimekatika.
Nikasema nizuge natoka nje, nimwachie ndani nisepe. Roundi hii nikwekewa mikono yote mabegani kuwa hapanasema kaachini mbona husikii! Bana eeh liwalo na liwe kimoyo moyo nasema wew jini unajua mwanzilishi wa ukoo wetu aliwafanya nini Wamasai (nikiwaza kuwa anasikia mawazo yangu) sasa nile uone. Alipoweka mikono begani kunituliza, nikapeleka kiunoni chezea chezea mbavu, kiuno na mapaja naona mtu anahema kwa shida. Nikasema kama jini wewe wa wa bongo movie. Kumbe alikuwa wale mademu wa sitaki nataka, nikala mzigo nikasepa. Ilikuwa woga tu.
Ujana maji ya moto