Vijiji vimeamka na vimepata nguvu baada ya kuona Rais anashughulikia kilio chao cha siku nyingi.Bora waache tu mana acacia katoka ni majeruhi kaingia mchezaji mwingine barick ambeye amesifiwa hata na kocha wetu kuwa anacheza vizuri
Kwa muda mrefu magazeti yetu yalikuwa yanatutangazia zile hadaa za acacia za kuchangia ligi za mpira badala ya kulipa kodi stahiki.hv haya magazetu yetu yalishawahi hata kwenda kwenye vijiji karibu na kutangazia ulimwengu jinsi gani mambo yalivyo huko? wao wanakazana na ripoti za magufuli. Non sense!!
Kuna kodi inayotakiwa kulipwa kwa vijiji lakini Acacia wamekuwa hailipi ...sasa vijiji vitaidai ccm au acacia?Hivyo vijiji viache UZUZU viishitaki ccm kwani mchawi wao hajatoka nje ya nchi wanaye na anawanunulia pilau na pombe za kienyeji kila uchaguzi ukifika
Out of contextUkitafuta waliotufikisha hapa kwa majina utakuwa unapoteza muda bure.....maana ccm wanashirikiana kupitisha uchafu wote tena kwa kuitwa na kupigwa beat na mwenyekiti kwa mtu atakayepinga miswada bungeni. Hii mimbwa ikiishaitwa na mwenyekiti kazi inayobaki nimiwachokoza wapinzani wenye akili nyingi kwa kutumia uwingi wao (wengi wape hata km ni wapumbavu na mabashite km ccm? Hapa wahenga sikubaliani nao katu....)
Tena haya malafi makubwa ccm yanapitisha haya mambo huku yakitukana watz matusi ya nguoni na kwa kejeri na dharau huu huku hii mafisadi ikipiga tu makofi....
Watz hawaitaki lkn inalazimisha kukaamadarakani kwa mabavu kwa goli la mkono bara na kwa kupora ushindi wa wazi visiwani
Shame I you ccm
Mahakama itatuambia ukweli
mimi naongelea kodi halali kwenye huuhuu mkataba wa sasa...siongelei porojo za kikasuku.Ukweli wa sakata la uporwaji wa Rasilimali zetu wanao marais wa awamu ya 3&4 ambao tayari wameshageuka "vifaru vya jeshi" ukiwataja tu unashughulikiwa.Uchafu huu wote umeletwa na wale tuliowaamini na kuwapa dhamana ya kutunza na kulinda Rasilimali zetu,lakini wakageuka madalali wa Rasilimali zetu badala ya kuzilinda.
Vibudu msiofikiri sawa sawa mtaishia kukata viono kwa kila mdundo utakaopigwa,lakini Ukweli mchungu ni kwamba,anayetuhadaa leo alikuwa sehemu ya wagonga meza bungeni na member wa cabinet iliyoandaa na kusimamia uporwaji wa Rasilimali zetu.
Hivi mrahaba inalipwa serikali au inalipwa vijiji?Vijiji kadhaa vimeifungulia kesi Acacia ya kudai kiasi zaidi ya bilioni 50 ambazo ni malimbikizo ya mrabaha.
Source :Magazetini
Hao wamezidi
bosi wao kawajua, thanks to Tanzania.
Magufuli oyeeeeee
Itabidi viidai ccm ambayo imekuwa ikipitisha mikataba ya hovyo kwa maslahi yao au km walikuwa hawalipi bado ni uzembe wa ccm ndo maana tunasema hakuna mzungu siji mchna analiibia taifa MAJIZI MAKUBWA NI miccm yenyeweKuna kodi inayotakiwa kulipwa kwa vijiji lakini Acacia wamekuwa hailipi ...sasa vijiji vitaidai ccm au acacia?