Vijiji vyaishitaki Acacia kwa kutolipa mrabaha!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,263
2,000
Vijiji kadhaa vimeifungulia kesi Acacia ya kudai kiasi zaidi ya bilioni 50 ambazo ni malimbikizo ya mrabaha.

Source :Magazetini
 
The Chosen One

JF-Expert Member
May 24, 2017
3,583
2,000
Bora waache tu mana acacia katoka ni majeruhi kaingia mchezaji mwingine barick ambeye amesifiwa hata na kocha wetu kuwa anacheza vizuri
 
aminiusiamini

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,580
2,000
hv haya magazetu yetu yalishawahi hata kwenda kwenye vijiji karibu na kutangazia ulimwengu jinsi gani mambo yalivyo huko? wao wanakazana na ripoti za magufuli. Non sense!!
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,263
2,000
Bora waache tu mana acacia katoka ni majeruhi kaingia mchezaji mwingine barick ambeye amesifiwa hata na kocha wetu kuwa anacheza vizuri
Vijiji vimeamka na vimepata nguvu baada ya kuona Rais anashughulikia kilio chao cha siku nyingi.
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,263
2,000
hv haya magazetu yetu yalishawahi hata kwenda kwenye vijiji karibu na kutangazia ulimwengu jinsi gani mambo yalivyo huko? wao wanakazana na ripoti za magufuli. Non sense!!
Kwa muda mrefu magazeti yetu yalikuwa yanatutangazia zile hadaa za acacia za kuchangia ligi za mpira badala ya kulipa kodi stahiki.
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,495
2,000
Ukitafuta waliotufikisha hapa kwa majina utakuwa unapoteza muda bure.....maana ccm wanashirikiana kupitisha uchafu wote tena kwa kuitwa na kupigwa beat na mwenyekiti kwa mtu atakayepinga miswada bungeni. Hii mimbwa ikiishaitwa na mwenyekiti kazi inayobaki nimiwachokoza wapinzani wenye akili nyingi kwa kutumia uwingi wao (wengi wape hata km ni wapumbavu na mabashite km ccm? Hapa wahenga sikubaliani nao katu....)
Tena haya malafi makubwa ccm yanapitisha haya mambo huku yakitukana watz matusi ya nguoni na kwa kejeri na dharau huu huku hii mafisadi ikipiga tu makofi....
Watz hawaitaki lkn inalazimisha kukaamadarakani kwa mabavu kwa goli la mkono bara na kwa kupora ushindi wa wazi visiwani
Shame I you ccm
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,263
2,000
Hivyo vijiji viache UZUZU viishitaki ccm kwani mchawi wao hajatoka nje ya nchi wanaye na anawanunulia pilau na pombe za kienyeji kila uchaguzi ukifika
Kuna kodi inayotakiwa kulipwa kwa vijiji lakini Acacia wamekuwa hailipi ...sasa vijiji vitaidai ccm au acacia?
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,263
2,000
Ukitafuta waliotufikisha hapa kwa majina utakuwa unapoteza muda bure.....maana ccm wanashirikiana kupitisha uchafu wote tena kwa kuitwa na kupigwa beat na mwenyekiti kwa mtu atakayepinga miswada bungeni. Hii mimbwa ikiishaitwa na mwenyekiti kazi inayobaki nimiwachokoza wapinzani wenye akili nyingi kwa kutumia uwingi wao (wengi wape hata km ni wapumbavu na mabashite km ccm? Hapa wahenga sikubaliani nao katu....)
Tena haya malafi makubwa ccm yanapitisha haya mambo huku yakitukana watz matusi ya nguoni na kwa kejeri na dharau huu huku hii mafisadi ikipiga tu makofi....
Watz hawaitaki lkn inalazimisha kukaamadarakani kwa mabavu kwa goli la mkono bara na kwa kupora ushindi wa wazi visiwani
Shame I you ccm
Out of context
 
Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
9,498
2,000
Hawajaambiwa kua "acacia Ni wanaume"?, waambie watulie wasimkere YOHANA.
 
ZILLAHENDER MPEMA

JF-Expert Member
Apr 4, 2015
2,058
2,000
Mahakama itatuambia ukweli

Ukweli wa sakata la uporwaji wa Rasilimali zetu wanao marais wa awamu ya 3&4 ambao tayari wameshageuka "vifaru vya jeshi" ukiwataja tu unashughulikiwa.Uchafu huu wote umeletwa na wale tuliowaamini na kuwapa dhamana ya kutunza na kulinda Rasilimali zetu,lakini wakageuka madalali wa Rasilimali zetu badala ya kuzilinda.

Vibudu msiofikiri sawa sawa mtaishia kukata viono kwa kila mdundo utakaopigwa,lakini Ukweli mchungu ni kwamba,anayetuhadaa leo alikuwa sehemu ya wagonga meza bungeni na member wa cabinet iliyoandaa na kusimamia uporwaji wa Rasilimali zetu.
 
mimi naongelea kodi halali kwenye huuhuu mkataba wa sasa...siongelei porojo za kikasuku.
 
Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,412
2,000
Hata barrick juzi wamesema kama ni wizi akamatwe acacia, hawa jamaa walikuwa wanaiba usiku na mchana
 
ZILLAHENDER MPEMA

JF-Expert Member
Apr 4, 2015
2,058
2,000
Hao wamezidi

bosi wao kawajua, thanks to Tanzania.

Magufuli oyeeeeeeHongera kwa kumakinika na makinikia.Akili hizi za panzi ndizo zilizotufikisha hapa,sifa zinazotiririka kutoka kwenye kinywa chako hazitofautiani na zile zilizotolewa na wagonga meza wa ccm kule bungeni wakati walipokuwa wanamsurubu mh.Zitto na kumfukuza bungeni mwaka 2007alipokuwa anapaza sauti kuupinga mgodi wa Buzwagi(ACACIA),leo hii miaka 10 baadaye wanashinikiza kuandaa pongezi kwa mgonga meza mwenzao wa wakati ule eti kwa madai amekuwa mzalendo wa Rasilimali zetu.Nchi hii ina watu wa hovyo sana ambao kuna uwezekano hata miili yao ikifa haitaweza kutafunwa na bakteria waliopo ardhini,itaishia kukauka tu.
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,495
2,000
Kuna kodi inayotakiwa kulipwa kwa vijiji lakini Acacia wamekuwa hailipi ...sasa vijiji vitaidai ccm au acacia?
Itabidi viidai ccm ambayo imekuwa ikipitisha mikataba ya hovyo kwa maslahi yao au km walikuwa hawalipi bado ni uzembe wa ccm ndo maana tunasema hakuna mzungu siji mchna analiibia taifa MAJIZI MAKUBWA NI miccm yenyewe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom