maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,806
- 2,349
Habari wakuu.
Nipo hapa kuleta hoja ya vijana kuzama kwenye uchawa. Yaani mimi nashindwa kuelezea tena inapigwa debe kweli kweli kana kwamba ni jambo zuri.
Unakuwa chawa wa mtu je akifa! Yaani utakuwaje vijana kataeni mfumo huu mbaya wenye kuharibu sifa zenu pamoja na utu wenu.
Ni aibu kuwa chawa wa mtu kwa kuwa mtu anaweza kukutumia na kukutupa akimpata mwenye uwezo zaidi wa kumpromote yeye.
Nimeona nijaribu kuelezea hili. Karibuni kwa mchango.