Sasa zinahusu nini kijana mwenzanguChukua hilo box weka kitandani akiingia alione. Then mwambie mi mwenyewe ninao mda tu halafu ondoka kamwage machozi mbele
ARV
Kijana hunitakii mema sio hadi nakuonesha unipe majibu ya hizi dawa kama wazijua unasema natunga story???Ila una stories za kutunga sana.
Nakushauri uanze mazoezi, pumzisha mwili wako, kula vizuri na kisha umrudie Mungu wako...... ni hayo tu
Dah! mkuu umenikumbusha wimbo wa Feiroz,kitambo sana!
Narudi tena, nimesoma michango yako kwenye topic wanazoanzisha watu wengine, nimesoma topic unazoanzisha nahitimisha kwa kusema acha utoto. SeeKijana hunitakii mema sio hadi nakuonesha unipe majibu ya hizi dawa kama wazijua unasema natunga story???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapumbavu squareARVs haiwezi ikaandikwa 1×1 Usiku mmoja.
Ila anayekuchukulia serious wewe ni mpumbavu tu.
Dawa za kupunguza makali ya virusi vya ukimwi(ARVs).Kijana hunitakii mema sio hadi nakuonesha unipe majibu ya hizi dawa kama wazijua unasema natunga story???
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hiyo dose ipo sahihi kabisa. Hiyo dawa hunywewa usiku tu kutokana na side effects zake.ARVs haiwezi ikaandikwa 1×1 Usiku mmoja.
Ila anayekuchukulia serious wewe ni mpumbavu tu.