Vijana wenzangu hizi dawa zinatibu nini?

kiben10

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
616
788
Baada ya kusoma comment zenu zenye kunithamini na wengine kunipa R.I.P basi nami nikaona bora nianze kuchunguza hapa kwake huyu jimama langu. Mzigo ndio huu nimeuona kwa maeneo yake ya SIRI ambayo mtu mwingine hawezi kupajua. Kwa hiyo naomba kujua hizi dawa zinahusu nini maana nimeona zimeandikwa 1 x 1 pia nimeandikwa kwa matumizi ya usiku tu.

Kwa watumiaji na wasio watumiaji wa hizi dawa au mwenye uelewa wa hizi dawa anifumbue macho, je zaweza kuwa ndio zile dawa za ARV???
C360_2018-08-27-07-14-03-904.jpg
20180827_070321.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom