Najua unataka kumpinga jamaa kuwa sio kweli kwamba wazee ndio wanaoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya maambukizi; nakubaliana na wewe kwa hili.
Kwanza unatakiwa kujua kuwa idadi ya vijana ni kubwa kuliko wazee, mzee mmoja anaweza kuwa na vijana hata kumi au hata zaidi ya hapo lakini tunapoangalia kwenye suala la maambukizi ni kuwa wazee hawa wazee ambao wengi wao ndio wameshika mpini kwenye taasisi kubwa za kifedha na wengi wao wamefanikiwa kuliko vijana, hivyo hutumia rasilimali walizonazo kuwarubuni mabinti ili kufanya nao ngono, sasa unakuta kama alivyosema huyo jamaa kuwa unakuta wako wengi kwenye list na hii hata mimi nimeiona sana.
Vijana wengi hawana uwezo wa kutoa huduma ukizingatia kuwa anategemewa au ndio anajipanga kujenga hata nyumba ndogo ya kuanzia maisha hivyo pesa za kuhonga anakuwa hana tofauti na wazee ambao unakuta tayari wamejijenga kimaisha.
NAkushauri kaangalie kundi la wanaaongoza kwa maambukizi ya VVU, kisha urudi hapa
CC Asprin, atoto Dark City mwekundu Nicas Mtei Mtambuzi Vin Diesel
Mi naona tu watoto wa kike wanaachiwa UKIMWI tu....maana tatizo lao wanadhani wako peke yao kumbe lizee limewapanga kama mia.COz hana majukumu tena so pesaa ni kuua hawa waodogo zetu
Kuna Mzee yuko kitaani huku mkewe alishatangulia anajulikana kaungua but kimwili yuko pouwa si ana hela. Basi anawaunguzaje hawa watoto wa vyuo mpaka unajiuliza huu UKIMWI utaisha lini
NAkushauri kaangalie kundi la wanaaongoza kwa maambukizi ya VVU, kisha urudi hapa
CC Asprin, atoto Dark City mwekundu Nicas Mtei Mtambuzi Vin Diesel
Najua unataka kumpinga jamaa kuwa sio kweli kwamba wazee ndio wanaoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya maambukizi; nakubaliana na wewe kwa hili.
Kwanza unatakiwa kujua kuwa idadi ya vijana ni kubwa kuliko wazee, mzee mmoja anaweza kuwa na vijana hata kumi au hata zaidi ya hapo lakini tunapoangalia kwenye suala la maambukizi ni kuwa wazee hawa wazee ambao wengi wao ndio wameshika mpini kwenye taasisi kubwa za kifedha na wengi wao wamefanikiwa kuliko vijana, hivyo hutumia rasilimali walizonazo kuwarubuni mabinti ili kufanya nao ngono, sasa unakuta kama alivyosema huyo jamaa kuwa unakuta wako wengi kwenye list na hii hata mimi nimeiona sana.
Vijana wengi hawana uwezo wa kutoa huduma ukizingatia kuwa anategemewa au ndio anajipanga kujenga hata nyumba ndogo ya kuanzia maisha hivyo pesa za kuhonga anakuwa hana tofauti na wazee ambao unakuta tayari wamejijenga kimaisha.
Usiwasingizie wazee bwana weee!! Vijana wenyewe vitombiiiii, kupangana foleni ndio mtindo, hapo labda uongelee hela tu, ila kuhusu uhuni aisee vijana wamo hata wazee wanaomba poo, na kama ndio hivyo basi hao wazee wanaupata huo ukimwi kutoka kwa hao vijana ambao yawezekana pia waliupata kutoka kwa vijana wenzao wakawapelekea wazee.
Ndo maana ya hii mada kwamba wawe wapole tu wasisingizie mara ukimwi sijui nini...wao pamoja na kwamba hawaba rasilimali lakini wanaruka ruka sana
Wasamehe wajukuu zetu, ni hasira za kupigwa bao. Inauma sana kaka.
Jaribu kukumbuka enzi zile utanielewa.
Hatufuati pesa tu, wazee wanajua kucare jamani acheni tu, yaani ni stress free, unapewa penzi haswaaa, alafu wanajua sana kujiachia climax unafikishwa hadi unalia.
Mivijana sasa full stress, mapenzi halijui,pesa halina, kucare napo taabu, unalivumilia nalo linajiotesha mapembe, taabu yoote ya nini. Kaizer where are you, miss you ujue.
Ila sio siri mabinti wa siku hizi wana njaa na tamaa sana. Sio ajabu kumkuta binti akiwa na mzee bila hata ya aibu na wengine hisema kabisa kuwa wanatafuta mzee mwenye ndoa yake.
Biashara gani?
Ya pesa.
Wewe juzi tu kuna mdada wa 25yrs nimempata akisema na mwenzake pahali vijana wa 30yrs ni shida bado wana akili za kitoto, Sasa hawa wadada ni wadogo means wanakalia za mapapaa
Ngoja nitoe sababu chache ----- Kwanza wanadai wazee wana care mno tofauti na vijana , Pili vijana hawatoi pesa , mbunga, Tatu vijana wanakamia gem mnoooo 3hrs na bado ,
Sasas hawa wadada sijui ni matatizo ya nguvu a kike ________ Wanataka show za kizee mtaipenda
kama mzee hana kitu hawezi pata dogodogo pia wazee wenye nafasi maofisni wanadanganyia vitu vingi
kwa hiyo ww ndo mambo yako kutoka na vibabuPamoja na pesa....
Wazee wanajua kutunzaa
Wanajua kubembeleza....