Vijana, wazee ndio wanawaharibia

Heee! Kwahiyo ndugu yangu Kaizer anakufikishamo hapo sio? Yani hapo climax kwa hivi???

Hapa babu Asprin na babu Dark City lazima wachekelee kwa misifa.
Dogo, wazee tumelala........ acha kuamsha mavi ya kale, japo hayanuki lakini ni mbolea.

cc: Mzee mwenzangu Dark City
 
Last edited by a moderator:
Nimekupenda bure....mungu atakusaidia utapata kazi nzuri.
 
Nimekupenda bure....mungu atakusaidia utapata permenent jobs.
 
Hapo kwenye climax hapana mkuu.....Kinacho wapeleka kwa wazee ni pesa, kupatiwa kazi na kupandishwa cheo. hawa waze sithan kama 6x6 wako vizuri.......akipinga bao moja usingizi unamchukua tofauti na sisi vijana maana damu bado ya moto tukiingia kwenye 6x6 lazima uombe po...
 
Last edited by a moderator:

Aaah wapi vijana wenyewe nyie wa chipsi mayai goli mbili tu hoiiii, tena zile za ta.ko 3 tu wareno haooooooo, wazee wako vizuri asikuambie mtu, msiwachukulie poa.
 
Mi naona tu watoto wa kike wanaachiwa UKIMWI tu....maana tatizo lao wanadhani wako peke yao kumbe lizee limewapanga kama mia.COz hana majukumu tena so pesaa ni kuua hawa waodogo zetu
Kuna Mzee yuko kitaani huku mkewe alishatangulia anajulikana kaungua but kimwili yuko pouwa si ana hela. Basi anawaunguzaje hawa watoto wa vyuo mpaka unajiuliza huu UKIMWI utaisha lini
 


NAkushauri kaangalie kundi la wanaaongoza kwa maambukizi ya VVU, kisha urudi hapa

CC Asprin, atoto Dark City mwekundu Nicas Mtei Mtambuzi Vin Diesel
 
Last edited by a moderator:
you are damn so right
 
Sasa mzee atoke akatafute wazee shambani wakati kila kukicha anapishana na bint kigori mlangoni kwake. Khaa!!!

Acha kila mbuzi ale urefu wa kamba yake.

Hapana kila mbuzi atakula kulingana na eneo alilofungwa kamba inaweza kuwa ndefu lakin nyasi hakuna na inaweza kuwa fupi lakin nyasi za kutosha
 
NAkushauri kaangalie kundi la wanaaongoza kwa maambukizi ya VVU, kisha urudi hapa

CC Asprin, atoto Dark City mwekundu Nicas Mtei Mtambuzi Vin Diesel

Najua unataka kumpinga jamaa kuwa sio kweli kwamba wazee ndio wanaoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya maambukizi; nakubaliana na wewe kwa hili.

Kwanza unatakiwa kujua kuwa idadi ya vijana ni kubwa kuliko wazee, mzee mmoja anaweza kuwa na vijana hata kumi au hata zaidi ya hapo lakini tunapoangalia kwenye suala la maambukizi ni kuwa wazee hawa wazee ambao wengi wao ndio wameshika mpini kwenye taasisi kubwa za kifedha na wengi wao wamefanikiwa kuliko vijana, hivyo hutumia rasilimali walizonazo kuwarubuni mabinti ili kufanya nao ngono, sasa unakuta kama alivyosema huyo jamaa kuwa unakuta wako wengi kwenye list na hii hata mimi nimeiona sana.

Vijana wengi hawana uwezo wa kutoa huduma ukizingatia kuwa anategemewa au ndio anajipanga kujenga hata nyumba ndogo ya kuanzia maisha hivyo pesa za kuhonga anakuwa hana tofauti na wazee ambao unakuta tayari wamejijenga kimaisha.
 
Last edited by a moderator:

Usiwasingizie wazee bwana weee!! Vijana wenyewe vitombiiiii, kupangana foleni ndio mtindo, hapo labda uongelee hela tu, ila kuhusu uhuni aisee vijana wamo hata wazee wanaomba poo, na kama ndio hivyo basi hao wazee wanaupata huo ukimwi kutoka kwa hao vijana ambao yawezekana pia waliupata kutoka kwa vijana wenzao wakawapelekea wazee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…