Vijana wazalendo watoa tamko

Vijana wazalendo watoa tamko

Hao vijana wazalendo wanapatikana wapi.... Kura ukawa tu
 
Makandokando mengi ndo nini ? Hata huyo unayefikiri ana makadokando kidogo ni kwa sababu ya nafasi yake aliyokuwanayo kama atapata nafasi kubwa hayo makandokando madogo yatakua hajabu, kwahiyo kila aliyepitishwa na NEC basi tuamini anazosifa za kutuongoza, kama tutakayemchagua hana sifa basi wakulaumiwa ni NEC na ccm kwa kuweka SIFA za wagombea ambazo ni zaifu kiasi kwamba wananchi wanaletewa wagombea wabovu ndio wawachague.
 
Hamna kuburushwa hapa, ccm ni mnyama mbaya sana inapaswa atolewe kwa namna yoyote ile.
 
TANZANIA TUITAKAYO VIJANA ipo mikononi mwetu vijana.

Ni jukumu letu mimi na wewe MTANZANIA mwenzangu kuhakikisha tunaipata Tanzania Tuitakayo kwa kupiga kura za ndio kwa kiongozi muadilifu na mchapa kazi pasipo ushabiki na kubuluzwa na wale wote wenye uchu wa madaraka na makandokando mengi.

Tusikilize sera za pande zote kwa makini na tutafakari kwa kina ni vipi zinatekelezeka!

Tusidanganyike vijana wenzangu tukaiuza nchi yetu tukufu kwa vielfu kumi kumi na nwisho tukaiweka rehani nchi yetu tukufu!

Itakua ni dhambi kubwa sana isiyosameheka tukipiga kura za ndio kwa kiongozi asiye na sifa na nidhamu ya UONGOZI!
Ee Mtanzania mwenzangu, tafakari, chukua HATUA

MUNGU IBARIKI AFRICA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Naomba kuwasilisha!

Huu ni utapeli sawa na ndole pale mtaa wa Congo-Dar au kwenye daladala!
 
Back
Top Bottom