Vijana wazalendo watoa tamko

Cc matamko yatawaua, mmetunga matamko hadi yanaenda kuisha wakati ndio kwanza hatujafika hata robo ya kampeni, kufikia tarehe 20 october mtakua icu maana matamko yatakua yameisha maana ndio yanawafariji.

Nendeni milembe mkaombe matamko ya wanachama wenu walioko kule maana wote walioko milembe ni wanachama wa ccm, msiwasahau kwenye matamko.
 
Alikudanganya nani tanzania ni nchi tukufu!! Hizo elfu kumi ziko wapi?
 
TANZANIA TUITAKAYO VIJANA ipo mikononi mwetu vijana.

Ni jukumu letu mimi na wewe MTANZANIA mwenzangu kuhakikisha tunaipata Tanzania Tuitakayo kwa kupiga kura za ndio kwa kiongozi muadilifu na mchapa kazi pasipo ushabiki na kubuluzwa na wale wote wenye uchu wa madaraka na makandokando mengi.

Tusikilize sera za pande zote kwa makini na tutafakari kwa kina ni vipi zinatekelezeka!

Tusidanganyike vijana wenzangu tukaiuza nchi yetu tukufu kwa vielfu kumi kumi na nwisho tukaiweka rehani nchi yetu tukufu!

Itakua ni dhambi kubwa sana isiyosameheka tukipiga kura za ndio kwa kiongozi asiye na sifa na nidhamu ya UONGOZI!
Ee Mtanzania mwenzangu, tafakari, chukua HATUA

MUNGU IBARIKI AFRICA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Naomba kuwasilisha!
tumechoka kuongozwa na ccm,tumechoka kutegemea watu/mtu,tutachagua ukawa ili watuletee katiba yetu ambayo ndiyo itaweka mifumo bora ya utawala wa nchi yetu
 
Wagombea wenye makandokando mengi hawastahili kabisa tuwapige vita popote wanapopita.

Magufuri alinifanya niachane na uvuvi kura yangu hapati. Namkumbuka alipokuja katika kisiwa cha Kome mchangani wilayani Sengerema akielekea chato kwa ubabe wa hotuba na kilichofuata baada ya hapo.
 
Lowasa alitemwa CCM kutokana na kuwa na makandokando mengi.
2005 tulichagua chaguo la Mungu mr.Jk unakumbuka issue ya escrow alifanyaje?aliyeumwa na nyoka hata akiona Jani anaruka,hatudanganyiki na blabla zetu Tena.tuna kwenda na huyo mtu mwenye makandokando
 
TANZANIA TUITAKAYO VIJANA ipo mikononi mwetu vijana.

Ni jukumu letu mimi na wewe MTANZANIA mwenzangu kuhakikisha tunaipata Tanzania Tuitakayo kwa kupiga kura za ndio kwa kiongozi muadilifu na mchapa kazi pasipo ushabiki na kubuluzwa na wale wote wenye uchu wa madaraka na makandokando mengi.

Tusikilize sera za pande zote kwa makini na tutafakari kwa kina ni vipi zinatekelezeka!

Tusidanganyike vijana wenzangu tukaiuza nchi yetu tukufu kwa vielfu kumi kumi na nwisho tukaiweka rehani nchi yetu tukufu!

Itakua ni dhambi kubwa sana isiyosameheka tukipiga kura za ndio kwa kiongozi asiye na sifa na nidhamu ya UONGOZI!
Ee Mtanzania mwenzangu, tafakari, chukua HATUA

MUNGU IBARIKI AFRICA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Naomba kuwasilisha!

Naona baada ya kila mbinu kushindikana mnakuja kama malaika sasa:what: yaani ccm hatuitaki tena, inakwenda kupotea kama kanu ya moi, c.c.m bye bye..!!
 
TANZANIA TUITAKAYO VIJANA ipo mikononi mwetu vijana.

Ni jukumu letu mimi na wewe MTANZANIA mwenzangu kuhakikisha tunaipata Tanzania Tuitakayo kwa kupiga kura za ndio kwa kiongozi muadilifu na mchapa kazi pasipo ushabiki na kubuluzwa na wale wote wenye uchu wa madaraka na makandokando mengi.

Tusikilize sera za pande zote kwa makini na tutafakari kwa kina ni vipi zinatekelezeka!

Tusidanganyike vijana wenzangu tukaiuza nchi yetu tukufu kwa vielfu kumi kumi na nwisho tukaiweka rehani nchi yetu tukufu!

Itakua ni dhambi kubwa sana isiyosameheka tukipiga kura za ndio kwa kiongozi asiye na sifa na nidhamu ya UONGOZI!
Ee Mtanzania mwenzangu, tafakari, chukua HATUA

MUNGU IBARIKI AFRICA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Naomba kuwasilisha!

We sisiem lini umekaa na vijana na kuja na wazo hilo
Haya vizur hata hivyo basi tutazikataa buku kumi us ccm na kumpa lowasa kura
 
Back
Top Bottom