Vijana wazalendo kutembea kwa miguu kutoka Dar hadi Dodoma kumuunga mkono Rais Magufuli

Safari na musiki. Hii tz ya awamu hii ina vibweka cjapata ona!
 
Hao ndo hawavunji sheria ya kutungwa majukwaani au ndo muda wake!
 
Kwa hayo mambo uliyoyataja nakubaliana na wewe ila siwezi kushiriki kwa sababu anakandamiza demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari
Wakitembea hivyo ndo inaongeza nini au wanataka nini na watatumia njia zipi maana hatutaki kuchafuriwa na rangi za nguo zao ambazo hata kwa wingi wake nyuki hawawezi dhani ni maua kwani hawapendagi ujinga!
 
UZALENDO....ILA WABONGO KWA UNAFKI YAN HAD RAHA....HUO MUDA MTAKAO UTUMIA NJIANI NCHI AIJENGE NANI NA KWA BAJETI IPI HII NI MISSION IMPOSSIBLE.....
 
Watu njaa zinawasumbua saana,,tafuten namna nyingine ya kujulikana basi duuh!! Hataree, lakin huenda mkafikiriwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…