MIUNDOMBINU JF-Expert Member Apr 14, 2010 465 96 Oct 8, 2011 #1 Ninahitaji vijana wawili kwa ajiri ya kazi zifuatazo; Kufanya usafiri katika eneo la kazi. Kusimamia utoaji na uingizaji wa bidhaa katika ghara. Kufunga mizigo ya wateja. Kupanga bidhaa katika ghara. Sifa za muombaji. Awe mwaminifu. Awe mchapa kazi. Awe na elimu ya darasa la saba au kidato cha nne. Awe anaishi Dar es Salaam. Namna ya kutuma maombi. Maombi yote yatumwe kwa njia ya e-mail hii hapa chini; miundombinu2010@yahoo.com. Au unaweza kunipigia simu kwa maelekezo zaidi. Piga no.0786190200. Asanteni.
Ninahitaji vijana wawili kwa ajiri ya kazi zifuatazo; Kufanya usafiri katika eneo la kazi. Kusimamia utoaji na uingizaji wa bidhaa katika ghara. Kufunga mizigo ya wateja. Kupanga bidhaa katika ghara. Sifa za muombaji. Awe mwaminifu. Awe mchapa kazi. Awe na elimu ya darasa la saba au kidato cha nne. Awe anaishi Dar es Salaam. Namna ya kutuma maombi. Maombi yote yatumwe kwa njia ya e-mail hii hapa chini; miundombinu2010@yahoo.com. Au unaweza kunipigia simu kwa maelekezo zaidi. Piga no.0786190200. Asanteni.
Mzalendo80 JF-Expert Member Oct 30, 2010 2,508 1,338 Oct 8, 2011 #2 MIUNDOMBINU said: Ninahitaji vijana wawili kwa ajiri ya kazi zifuatazo; Kufanya usafiri katika eneo la kazi. Kusimamia utoaji na uingizaji wa bidhaa katika ghara. Kufunga mizigo ya wateja. Kupanga bidhaa katika ghara. Sifa za muombaji. Awe mwaminifu. Awe mchapa kazi. Awe na elimu ya darasa la saba au kidato cha nne. Awe anaishi Dar es Salaam. Namna ya kutuma maombi. Maombi yote yatumwe kwa njia ya e-mail hii hapa chini; miundombinu2010@yahoo.com. Au unaweza kunipigia simu kwa maelekezo zaidi. Piga no.0786190200. Asanteni. Click to expand... Umesahau sifa ya Tano, ngoja niongezee 5. Awe raia wa Tanzania, kama sio raia usiombe hizo nafasi
MIUNDOMBINU said: Ninahitaji vijana wawili kwa ajiri ya kazi zifuatazo; Kufanya usafiri katika eneo la kazi. Kusimamia utoaji na uingizaji wa bidhaa katika ghara. Kufunga mizigo ya wateja. Kupanga bidhaa katika ghara. Sifa za muombaji. Awe mwaminifu. Awe mchapa kazi. Awe na elimu ya darasa la saba au kidato cha nne. Awe anaishi Dar es Salaam. Namna ya kutuma maombi. Maombi yote yatumwe kwa njia ya e-mail hii hapa chini; miundombinu2010@yahoo.com. Au unaweza kunipigia simu kwa maelekezo zaidi. Piga no.0786190200. Asanteni. Click to expand... Umesahau sifa ya Tano, ngoja niongezee 5. Awe raia wa Tanzania, kama sio raia usiombe hizo nafasi
Inkoskaz JF-Expert Member Nov 6, 2010 6,372 2,375 Oct 8, 2011 #3 Jamani mbona napiga hizi namba hazipatikani na nimetuma email lakin sijibiwi,vipi mkuu vijana washapatikana?
Jamani mbona napiga hizi namba hazipatikani na nimetuma email lakin sijibiwi,vipi mkuu vijana washapatikana?
Manyanza JF-Expert Member Nov 4, 2010 9,525 14,397 Oct 9, 2011 #5 Mzalendo80 said: Umesahau sifa ya Tano, ngoja niongezee 5. Awe raia wa Tanzania, kama sio raia usiombe hizo nafasi Click to expand... tehe tehe.. Kweli mkuu maana kuna wachina wapo tayari kupiga box
Mzalendo80 said: Umesahau sifa ya Tano, ngoja niongezee 5. Awe raia wa Tanzania, kama sio raia usiombe hizo nafasi Click to expand... tehe tehe.. Kweli mkuu maana kuna wachina wapo tayari kupiga box
Inkoskaz JF-Expert Member Nov 6, 2010 6,372 2,375 Oct 9, 2011 #6 Msiwe mnaleta utan jaman coz hizo no hapo juu sijui vp na mail nimeshatuma au kunanjia mbadala ya kuwasiliana?
Msiwe mnaleta utan jaman coz hizo no hapo juu sijui vp na mail nimeshatuma au kunanjia mbadala ya kuwasiliana?
Donnie Charlie JF-Expert Member Sep 16, 2009 15,159 16,243 Oct 9, 2011 #7 Inkoskaz said: Msiwe mnaleta utan jaman coz hizo no hapo juu sijui vp na mail nimeshatuma au kunanjia mbadala ya kuwasiliana? Click to expand... jaribu kesho mkuu huenda number inatumika siku za kazi
Inkoskaz said: Msiwe mnaleta utan jaman coz hizo no hapo juu sijui vp na mail nimeshatuma au kunanjia mbadala ya kuwasiliana? Click to expand... jaribu kesho mkuu huenda number inatumika siku za kazi
MIUNDOMBINU JF-Expert Member Apr 14, 2010 465 96 Oct 9, 2011 Thread starter #8 Inkoskaz said: Jamani mbona napiga hizi namba hazipatikani na nimetuma email lakin sijibiwi,vipi mkuu vijana washapatikana? Click to expand... Mkuu piga tena 0786 190200
Inkoskaz said: Jamani mbona napiga hizi namba hazipatikani na nimetuma email lakin sijibiwi,vipi mkuu vijana washapatikana? Click to expand... Mkuu piga tena 0786 190200
MIUNDOMBINU JF-Expert Member Apr 14, 2010 465 96 Oct 9, 2011 Thread starter #9 Never give up said: jaribu kesho mkuu huenda number inatumika siku za kazi Click to expand... Mkuu no iko hewani piga tena
Never give up said: jaribu kesho mkuu huenda number inatumika siku za kazi Click to expand... Mkuu no iko hewani piga tena
MIUNDOMBINU JF-Expert Member Apr 14, 2010 465 96 Oct 9, 2011 Thread starter #10 ritz said: Vijana wa kiume au kike? Click to expand... Mkuu mi siangalii jinsia hata wakike kama anaweza kubeba Box anakaribishwa tu.
ritz said: Vijana wa kiume au kike? Click to expand... Mkuu mi siangalii jinsia hata wakike kama anaweza kubeba Box anakaribishwa tu.
MIUNDOMBINU JF-Expert Member Apr 14, 2010 465 96 Oct 9, 2011 Thread starter #11 Manyanza said: tehe tehe.. Kweli mkuu maana kuna wachina wapo tayari kupiga box Click to expand... hahahaaaaaaaaaa!!!, kweli kabisa wachina siwataki, maana hawa jamaa wamezidi sana kujichomeka duh, make siku hizi wanauza mpaka maandazi hapa kariakoo.
Manyanza said: tehe tehe.. Kweli mkuu maana kuna wachina wapo tayari kupiga box Click to expand... hahahaaaaaaaaaa!!!, kweli kabisa wachina siwataki, maana hawa jamaa wamezidi sana kujichomeka duh, make siku hizi wanauza mpaka maandazi hapa kariakoo.