Vijana wawili wanahitajika haraka

MIUNDOMBINU

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
465
96
Ninahitaji vijana wawili kwa ajiri ya kazi zifuatazo;
  1. Kufanya usafiri katika eneo la kazi.
  2. Kusimamia utoaji na uingizaji wa bidhaa katika ghara.
  3. Kufunga mizigo ya wateja.
  4. Kupanga bidhaa katika ghara.

Sifa za muombaji.
  1. Awe mwaminifu.
  2. Awe mchapa kazi.
  3. Awe na elimu ya darasa la saba au kidato cha nne.
  4. Awe anaishi Dar es Salaam.
Namna ya kutuma maombi.

Maombi yote yatumwe kwa njia ya e-mail hii hapa chini;
miundombinu2010@yahoo.com.

Au unaweza kunipigia simu kwa maelekezo zaidi. Piga no.0786190200.
Asanteni.
 
Umesahau sifa ya Tano, ngoja niongezee
5. Awe raia wa Tanzania, kama sio raia usiombe hizo nafasi
 
Jamani mbona napiga hizi namba hazipatikani na nimetuma email lakin sijibiwi,vipi mkuu vijana washapatikana?
 
Msiwe mnaleta utan jaman coz hizo no hapo juu sijui vp na mail nimeshatuma au kunanjia mbadala ya kuwasiliana?
 
tehe tehe.. Kweli mkuu maana kuna wachina wapo tayari kupiga box

hahahaaaaaaaaaa!!!, kweli kabisa wachina siwataki, maana hawa jamaa wamezidi sana kujichomeka duh, make siku hizi wanauza mpaka maandazi hapa kariakoo.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom