Vijana watano (5)wauawa na polisi Tarime.

TarimeYetu

New Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Vijana watano wameuawa na jeshi na mmoja kujeruhiwa vibaya baada kuingia kuokota mawe(makapi)katika Barick Nyamongo.
 
Zitto Kabwe tangia alipohongwa mamilioni kuwasaliti watanzania, polisi sasa wanaua tu wanavyotaka
 
Leo mimi nilikuwa Nyamwaga, nimeshuhudia msafara wa RC-MARA ukiwa na magari 8 yakiwemo ya Polisi 3, msafara ukiingia Nyamwaga na kutoka kurejea Nyamongo. Haya mambo haya...

Sikujua kiendeleacho, sasa nipo Nyamongo, mdomoni mwa mageti kuingia mgodini, hii hatari.
 
Hao vijana ni kweli walikuwa wanaokota makapi ama Luna kith ni kingine maana sielewi kabisa naomba ufafanuzi.
 
huyo mleta mada ni muongo na mpotoshaji.
mimi nipo nyamongo.
Kijana aliyepoteza maisha ni mmoja na si watano na wala hajauawa na polisi.
Kundi la watu si chini ya elfu moja waliingia ndani ya mgodi wa barick kuiba mawe ya dhahabu (sio makapi) katika pit.
vijana wawili waliporomoka kutoka juu ya pit. (kumbuka pit ni shimo refu sana na lina mawe makubwa ni kama urefu wa ghorofa sita au zaidi)

kijana mmoja alipoteza maisha na mwingine aliumia vibaya na mpaka sasa yupo katika clinic ya barick anatibiwa na barick.
Mwili wa aliyefariki umepelekwa katika hospitali ya Sungu sungu kuhifahiwa.

katika hali isiyo ya kawaida, kiongozi mmoja wa serikali za mitaa wa CCM.

alikusanya kundi la vijana na kuwahamasisha waingie ndani ya mgodi wakafanye vurugu.
ajabu mara baada ya kuwahamasisha viana hao yeye mwnyewe aliingia kwenye gari yake na kutokomea, hakujuinga na vijana wale.

polisi walifanikiwa kudhibiti.

huyo anayesema wamakufa watu watano taarifa kazitoa wapi?
 
Hapa kwa sasa kuna viogoz wakubwa kwa sababu ya uziduzi skondar nyamwanga ngoja tusubiri matamko yao
 
Si nilisikia mgodi umewekewa uzio (expensive fence) na kuna police zaidi ya 30 (FFU) wanaulinda 24/7...na bado wana surveillance cameras, sasa hao vijana wanaingiaje kwenye pit?

huyo mleta mada ni muongo na mpotoshaji.
mimi nipo nyamongo.
Kijana aliyepoteza maisha ni mmoja na si watano na wala hajauawa na polisi.
Kundi la watu si chini ya elfu moja waliingia ndani ya mgodi wa barick kuiba mawe ya dhahabu (sio makapi) katika pit.
vijana wawili waliporomoka kutoka juu ya pit. (kumbuka pit ni shimo refu sana na lina mawe makubwa ni kama urefu wa ghorofa sita au zaidi)

kijana mmoja alipoteza maisha na mwingine aliumia vibaya na mpaka sasa yupo katika clinic ya barick anatibiwa na barick.
Mwili wa aliyefariki umepelekwa katika hospitali ya Sungu sungu kuhifahiwa.

katika hali isiyo ya kawaida, kiongozi mmoja wa serikali za mitaa wa CCM.

alikusanya kundi la vijana na kuwahamasisha waingie ndani ya mgodi wakafanye vurugu.
ajabu mara baada ya kuwahamasisha viana hao yeye mwnyewe aliingia kwenye gari yake na kutokomea, hakujuinga na vijana wale.

polisi walifanikiwa kudhibiti.

huyo anayesema wamakufa watu watano taarifa kazitoa wapi?
 
"Wapigwe tu... sisi tumechoka"...
 
Na wana case ya mauaji yaliyotokea 2011..kesi imefunguliwa British High court last July na same issue ilizua mjadala bunge la UK (house of lords) mwaka jana mwishoni.

Badala mgd kuleta baraka imekuwa balaa kwetu wanatarime
 
huyo mleta mada ni muongo na mpotoshaji.
mimi nipo nyamongo.
Kijana aliyepoteza maisha ni mmoja na si watano na wala hajauawa na polisi.
Kundi la watu si chini ya elfu moja waliingia ndani ya mgodi wa barick kuiba mawe ya dhahabu (sio makapi) katika pit.
vijana wawili waliporomoka kutoka juu ya pit. (kumbuka pit ni shimo refu sana na lina mawe makubwa ni kama urefu wa ghorofa sita au zaidi)

kijana mmoja alipoteza maisha na mwingine aliumia vibaya na mpaka sasa yupo katika clinic ya barick anatibiwa na barick.
Mwili wa aliyefariki umepelekwa katika hospitali ya Sungu sungu kuhifahiwa.

katika hali isiyo ya kawaida, kiongozi mmoja wa serikali za mitaa wa CCM.

alikusanya kundi la vijana na kuwahamasisha waingie ndani ya mgodi wakafanye vurugu.
ajabu mara baada ya kuwahamasisha viana hao yeye mwnyewe aliingia kwenye gari yake na kutokomea, hakujuinga na vijana wale.

polisi walifanikiwa kudhibiti.

huyo anayesema wamakufa watu watano taarifa kazitoa wapi?

Mkuu hiyo sentensi ya mwisho inanifanya nitilie mashaka bandiko lako...

Unaposema taarifa katoa wapi, kwani wewe umetoa wapi?
Unaposema taarifa katoa wapi, ina maana kuna mtu anahodhi hizo taarifa?
Unaposema taarifa katoa wapi ina maana haikutarajiwa hizo taarifa zingetoka?

Wewe ni nani hasa ili tuamini kwamba taarifa zako ni genuine na sio za mleta thread?

Matukio ya polisi kupiga wananchi risasi hapo mgodini yamekuwa yalitokea (na kuthibitishwa) mara kwa mara, lakini matukio ya watu kudondokea kwenye pit na kufa kama ulivyoripoti wewe sio common. Hivi unatuaminishaje kwamba kilichotokea sio "business as usual" na kwamba ni tukio "geni"?
 
Mkuu bora umesema wewe kwa uhakika mleta uzi anadhani nyamongo yupo peke yake
 
Si nilisikia mgodi umewekewa uzio (expensive fence) na kuna police zaidi ya 30 (FFU) wanaulinda 24/7...na bado wana surveillance cameras, sasa hao vijana wanaingiaje kwenye pit?
Ni kweli mgodi una fensi ya zege ingawa sio sehemu zote, kuna sehemu zipo wazi.
Na vijana na wao wana mbinu kali sana sometimes hao polisi hujeruhiwa vibaya sana.
 
Mkuu hiyo sentensi ya mwisho inanifanya nitilie mashaka bandiko lako...

Unaposema taarifa katoa wapi, kwani wewe umetoa wapi?
Unaposema taarifa katoa wapi, ina maana kuna mtu anahodhi hizo taarifa?
Unaposema taarifa katoa wapi ina maana haikutarajiwa hizo taarifa zingetoka?

Wewe ni nani hasa ili tuamini kwamba taarifa zako ni genuine na sio za mleta thread?

Matukio ya polisi kupiga wananchi risasi hapo mgodini yamekuwa yalitokea (na kuthibitishwa) mara kwa mara, lakini matukio ya watu kudondokea kwenye pit na kufa kama ulivyoripoti wewe sio common. Hivi unatuaminishaje kwamba kilichotokea sio "business as usual" na kwamba ni tukio "geni"?
Mimi nilikuwepo eneo la tukio.
ndio maana namuuliza mleta mada taarifa kazitoa wapi nilimaanisha atoe ushaidi.
ishu imegeuzwa mtaji wa kisiasa na yule kiongozi wa mtaa aliyekuwa ana'moblize raia so sitoshangaa mwanzisha mada akisema source ya info ni kutokam kwake, kumbuka mwaka huu ni uchaguzi wa serikali za mitaa.
matukio ya mauaji Tarime ni mengi sana kuanzia mitaani na hata hapo mgodini.
ni kweli matukio ya polisi kupiga risasi raia wanaovamia mgodi yameshatokea sana.
miaka ya hii karibuni kuna raia saba walipiogwa risasi na kupoteza maisha ndani ya mgodi.

matukio ya watu kudondoka pit ni common sana lakini yote hujumuishwa kama polisi wameua.
matukio mengine ya mauaji ambayo hutokea mara kwa mara ni mapigano baina ya vikundi dhidi ya vikundi vingine vinavyoingia mgodini.
hawa hufikia hatua hadi ya kuchinjana wanapodhulumiana.

kwa tukio la leo, nenda hospitali ya Sungusungu iliyopo nyamongo, muulize mganga mkuu wa pale amepokea miili ya watu wangapi atakupatia jibu.
 
Back
Top Bottom