Vijana watano (5)wauawa na polisi Tarime.

Vijana watano (5)wauawa na polisi Tarime.

vijana kuvamia migodi ni bomu iliyoandaliwa na serekali kwa vijana kukosa ajira na wananchi kutoona manufaa ya mgodi na jambo hilo litaendelewa ambapo mauaji yanaweza yakawa makubwa zaidi kwa pande zote na siyo kama ilivyo sasa
 
Zitto Kabwe tangia alipohongwa mamilioni kuwasaliti watanzania, polisi sasa wanaua tu wanavyotaka

ni zitto tu anaweza kukemea? wakati mwingine kudhihirisha chuki hadharani ni kujifedhehesha
 
Back
Top Bottom