Vijana wasomi jiungeni CCM kuna fursa nyingi

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,995
Vijana wengi wasomi hawajui kutumia fursa.Fursa mojawapo ni kujiunga na chama tawala ambacho chaweza kukupa fursa ya kuchaguliwa kuwa kiongozi ndani ya serikali nk wakikuona una uwezo na unafaa

Ukijiunga chama cha upinzani ni kupoteza wakati wako na fursa.Hivi unategemea Raisi achague mkuu wa wilaya au mkoa kutoka kijana aliye chama cha upinzani hata kama ana akili kuliko profesa yeyote? Katiba kwanza haimruhusu.

Vijana wengi mwangalieni Mkuu wa mkoa MAKONDA ni kijana lakini aliyejitoa kufanya kazi na chama tawala huyo kapaa mkuu wa mkoa akiwa bado kijana kabisa.

Nina uhakika vijana kama akina Zitto Kabwe,John MNYIKA.Halima MDEE wangekuwa CCM siku nyingi wangeshakuwa mawaziri,wakuu wa mikoa na hata mabalozi wa Tanzania nje ya nchi.Lakini walipo mwisho wao ubunge!!!

Vijana wasomi harakisheni jiungeni CCM haraka ingieni jumuiya ya vijana wa CCM anzeni kuwa ACTIVE .Changamkeni kwenye maswala ya Chama onyesheni uwezo wenu huko

Msomi yeyote anatakiwa ajiweke mahali ambapo ana uhakika wa kwenda mbali.Chama tawala ndicho chaweza msaidia kufika mbali.

Nendeni matawi ya CCM yaliyo karibu jiungeni haraka CCM
 
Vijana wengi wasomi hawajui kutumia fursa.Fursa mojawapo ni kujiunga na chama tawala ambacho chaweza kukupa fursa ya kuchaguliwa kuwa kiongozi ndani ya serikali nk wakikuona una uwezo na unafaa

Ukijiunga chama cha upinzani ni kupoteza wakati wako na fursa.Hivi unategemea Raisi achague mkuu wa wilaya au mkoa kutoka kijana aliye chama cha upinzani hata kama ana akili kuliko profesa yeyote? Katiba kwanza haimruhusu.

CCM vijana wengi mwangalieni Mkuu wa mkoa MAKONDA ni kijana lakini aliyejitoa kufanya kazi na chama tawala huyo kapaa mkuu wa mkoa akiwa bado kijana kabisa.

yehodaya123@gmail.com
Wewe nawe wajiita msomi? Sio lazima kila mtu awe mwanasiasa
 
Unadhani shida yetu ni vyeooooo

Hapana...Hatuna shida ya hivyo vyeo vyenu ambavyo kwenu of course ndio focus kuu

Tuna shida na Kuubadilisha mfumo mbovu wa chama cha mapinduzi ambao umesababishia nchi yetu Umasikini wa Kutupwa
 
Kijana mwenye mawazo kama yako ndio ataweza kuleta mabadiliko acha ujinga wewe Fanya kazi ccm akuna vyeo ndio maana akina wasira wanapigania ubunge mahakamani wako wapi akuna seif rashidi mtemvu Na wengine hawajakumbukwa ata kwenye ukuu wa mkoa
 
Vijana wengi wasomi hawajui kutumia fursa.Fursa mojawapo ni kujiunga na chama tawala ambacho chaweza kukupa fursa ya kuchaguliwa kuwa kiongozi ndani ya serikali nk wakikuona una uwezo na unafaa

Ukijiunga chama cha upinzani ni kupoteza wakati wako na fursa.Hivi unategemea Raisi achague mkuu wa wilaya au mkoa kutoka kijana aliye chama cha upinzani hata kama ana akili kuliko profesa yeyote? Katiba kwanza haimruhusu.

CCM vijana wengi mwangalieni Mkuu wa mkoa MAKONDA ni kijana lakini aliyejitoa kufanya kazi na chama tawala huyo kapaa mkuu wa mkoa akiwa bado kijana kabisa.

Nina uhakika vijana kama akina Zitto Kabwe,John MNYIKA.Halima MDEE wangekuwa CCM siku nyingi wangeshakuwa mawaziri,wakuu wa mikoa na hata mabalozi wa Tanzania nje ya nchi.Lakini walipo mwisho wao ubunge!!!

Vijana wasomi harakisheni jiungeni CCM haraka ingieni jumuiya ya vijana wa CCM anzeni kuwa ACTIVE .Changamkeni kwenye maswala ya Chama onyesheni uwezo wenu huko

Msomi yeyote anatakiwa ajiweke mahali ambapo ana uhakika wa kwenda mbali.Chama tawala ndicho chaweza msaidia kufika mbali.

Nendeni matawi ya CCM yaliyo karibu jiungeni haraka CCM

yehodaya123@gmail.com
Wewe ndiye mburula unaye itegemea ccm ikupatie kazi,sisi tunao uwezo wetu hatuna mpango na hilo jini ccm
 
haya unatakiwa uyafanye kwenye mikutano. hapa sio!! pia nchi haijengwi kwa ubaguzi, chama ni wakati wa uchaguzi ila fursa za maendeleo kwa wote....
 
Vijana wengi wasomi hawajui kutumia fursa.Fursa mojawapo ni kujiunga na chama tawala ambacho chaweza kukupa fursa ya kuchaguliwa kuwa kiongozi ndani ya serikali nk wakikuona una uwezo na unafaa

Ukijiunga chama cha upinzani ni kupoteza wakati wako na fursa.Hivi unategemea Raisi achague mkuu wa wilaya au mkoa kutoka kijana aliye chama cha upinzani hata kama ana akili kuliko profesa yeyote? Katiba kwanza haimruhusu.

CCM vijana wengi mwangalieni Mkuu wa mkoa MAKONDA ni kijana lakini aliyejitoa kufanya kazi na chama tawala huyo kapaa mkuu wa mkoa akiwa bado kijana kabisa.

Nina uhakika vijana kama akina Zitto Kabwe,John MNYIKA.Halima MDEE wangekuwa CCM siku nyingi wangeshakuwa mawaziri,wakuu wa mikoa na hata mabalozi wa Tanzania nje ya nchi.Lakini walipo mwisho wao ubunge!!!

Vijana wasomi harakisheni jiungeni CCM haraka ingieni jumuiya ya vijana wa CCM anzeni kuwa ACTIVE .Changamkeni kwenye maswala ya Chama onyesheni uwezo wenu huko

Msomi yeyote anatakiwa ajiweke mahali ambapo ana uhakika wa kwenda mbali.Chama tawala ndicho chaweza msaidia kufika mbali.

Nendeni matawi ya CCM yaliyo karibu jiungeni haraka CCM

yehodaya123@gmail.com
Kwa hiyo sasa hivi hadi ajira mnatoa kichama kama ni msomi na sio mwana Ccm Hawez pewa ajira . Cheki mlivyo wabaguzi . Yote haya yana mwisho . Mmejisahau sana mnaona Tanzania ni ya Ccm. Wakati kodi tumelipa wote.
 
Vijana wengi wasomi hawajui kutumia fursa.Fursa mojawapo ni kujiunga na chama tawala ambacho chaweza kukupa fursa ya kuchaguliwa kuwa kiongozi ndani ya serikali nk wakikuona una uwezo na unafaa

Ukijiunga chama cha upinzani ni kupoteza wakati wako na fursa.Hivi unategemea Raisi achague mkuu wa wilaya au mkoa kutoka kijana aliye chama cha upinzani hata kama ana akili kuliko profesa yeyote? Katiba kwanza haimruhusu.

CCM vijana wengi mwangalieni Mkuu wa mkoa MAKONDA ni kijana lakini aliyejitoa kufanya kazi na chama tawala huyo kapaa mkuu wa mkoa akiwa bado kijana kabisa.

Nina uhakika vijana kama akina Zitto Kabwe,John MNYIKA.Halima MDEE wangekuwa CCM siku nyingi wangeshakuwa mawaziri,wakuu wa mikoa na hata mabalozi wa Tanzania nje ya nchi.Lakini walipo mwisho wao ubunge!!!

Vijana wasomi harakisheni jiungeni CCM haraka ingieni jumuiya ya vijana wa CCM anzeni kuwa ACTIVE .Changamkeni kwenye maswala ya Chama onyesheni uwezo wenu huko

Msomi yeyote anatakiwa ajiweke mahali ambapo ana uhakika wa kwenda mbali.Chama tawala ndicho chaweza msaidia kufika mbali.

Nendeni matawi ya CCM yaliyo karibu jiungeni haraka CCM

yehodaya123@gmail.com
ndio maana muko tayari kuuwa wazanzibari wote kwa ajili ya vyeo? ujinga ulioje!!! msomi gani anaetegemea kuajiriwa na ccm, hayo ni mawazo ya std 7 wanaoshinda maskani za ccm ili wapewe vyo
 
Back
Top Bottom