eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Bora wangu anajipikia lol
Una uhakika
we we umeoa??
akaaaa! mie kama mchungaji nimepika ugali na tembele,na nyanya chungu, nimekula na sasa npo kazini. saaafi.
akaaaa! mie kama mchungaji nimepika ugali na tembele,na nyanya chungu, nimekula na sasa npo kazini. saaafi.
dk zenyewe wamebaki wachache, wakijitahidi 5
Dah....ni sahihi.Kuna vijana wengine mlo wa mchana hula "tujiandazi" tuwili na chili sosi.😀😀
Ule hivyo halafu uingie mchezoni si utakufa mkuu
Ooh yeah 100%
Hongera zake
Hope nawe unapikaga