Nachelea kusema kuwa hawa vijana ambao familia zao wamezaliwa wakazikuta ziko katika njia hiyo, hivi kweli wataacha ufisadi?
Tueleze kinaga ubaga UFISADI NI NINI ?
Nachelea kusema kuwa hawa vijana ambao familia zao wamezaliwa wakazikuta ziko katika njia hiyo, hivi kweli wataacha ufisadi?
Unadhihirisha ulivyoacha kutumia akili ya kichwa ukatumia ya kwenye makalio. au kwa vile baba yako anavuna kifisadi hivyo huna kazi ya kufanya zaidi ya kula kulala? Angalia baba yako atamfuata Mramba. siku zenu zinahesabika.
mnataka kusema watu wahukumiwe kwa vitendo vya baba na mama zao?
sidhani kama ana maana hiyo.... tujaribu kuangali mtoto aliyekulia kwenye ufisadi na kuupigania kama shoti wetu anayehamanika kila wakati, keshaanza kuonyesha ni wapi amerithi mengi,mnataka kusema watu wahukumiwe kwa vitendo vya baba na mama zao?
Yes indeed - Ndiyo maana huwa nasema watoto wetu watafukua maiti zetu kuchunguza "skulls" kama tulikuwa na vichwa vya punda au ngamia! :A S angry:
Unadhihirisha ulivyoacha kutumia akili ya kichwa ukatumia ya kwenye makalio. au kwa vile baba yako anavuna kifisadi hivyo huna kazi ya kufanya zaidi ya kula kulala? Angalia baba yako atamfuata Mramba. siku zenu zinahesabika.
Anaamaanisha wewe na watoto fisadi ni vilaza, vikaragosi, wahujumu uchumi, wezi, ipo siku ( na si mbali) mtahukumiwaUnadhihirisha ulivyoacha kutumia akili ya kichwa ukatumia ya kwenye makalio ( MAKALIO YANA AKILI KWANI HEBU NIONYESHE ?) . au kwa vile baba yako ( WEWE HUNA BABA, AU NYIE NDIO WATOTO WA MITAANI?) anavuna kifisadi ( HEBU SEMA MAVUNO YA KIFISADI YAKOJE?) hivyo huna kazi ya kufanya zaidi ya kula kulala ( WEWE HULI NA KULALA ?)? Angalia baba yako atamfuata Mramba ( KUMFUATA WAPI NIMWAMBIE HATA SASA HIVI AENDE?). siku zenu zinahesabika ( HI VI KUNA SIKU ZISIZO HESABIKA? KICHWA MAJI WEWE).