Elections 2010 Vijana waliozaliwa katika nyumba za mafisadi, wataacha ufisadi?

Mantissa

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
876
166
Nachelea kusema kuwa hawa vijana ambao familia zao wamezaliwa wakazikuta ziko katika njia hiyo, hivi kweli wataacha ufisadi?
 
Tueleze kinaga ubaga UFISADI NI NINI ?

Unadhihirisha ulivyoacha kutumia akili ya kichwa ukatumia ya kwenye makalio. au kwa vile baba yako anavuna kifisadi hivyo huna kazi ya kufanya zaidi ya kula kulala? Angalia baba yako atamfuata Mramba. siku zenu zinahesabika.
 
Nachelea kusema kuwa hawa vijana ambao familia zao wamezaliwa wakazikuta ziko katika njia hiyo, hivi kweli wataacha ufisadi?

Ndo maana watoto wa Nyerere si mafisadi coz mzee wao kawalea katika misingi iliyo sahihi.
Vijana wanataka umaarufu kama wazazi wao!!!!
 
mnataka kusema watu wahukumiwe kwa vitendo vya baba na mama zao?
 
Unadhihirisha ulivyoacha kutumia akili ya kichwa ukatumia ya kwenye makalio. au kwa vile baba yako anavuna kifisadi hivyo huna kazi ya kufanya zaidi ya kula kulala? Angalia baba yako atamfuata Mramba. siku zenu zinahesabika.

Unadhihirisha ulivyoacha kutumia akili ya kichwa ukatumia ya kwenye makalio ( MAKALIO YANA AKILI KWANI HEBU NIONYESHE ?) . au kwa vile baba yako ( WEWE HUNA BABA, AU NYIE NDIO WATOTO WA MITAANI?) anavuna kifisadi ( HEBU SEMA MAVUNO YA KIFISADI YAKOJE?) hivyo huna kazi ya kufanya zaidi ya kula kulala ( WEWE HULI NA KULALA ?)? Angalia baba yako atamfuata Mramba ( KUMFUATA WAPI NIMWAMBIE HATA SASA HIVI AENDE?). siku zenu zinahesabika ( HI VI KUNA SIKU ZISIZO HESABIKA? KICHWA MAJI WEWE).
 
mnataka kusema watu wahukumiwe kwa vitendo vya baba na mama zao?

Yes indeed - Ndiyo maana huwa nasema watoto wetu watafukua maiti zetu kuchunguza "skulls" kama tulikuwa na vichwa vya punda au ngamia! :A S angry:
 
mnataka kusema watu wahukumiwe kwa vitendo vya baba na mama zao?
sidhani kama ana maana hiyo.... tujaribu kuangali mtoto aliyekulia kwenye ufisadi na kuupigania kama shoti wetu anayehamanika kila wakati, keshaanza kuonyesha ni wapi amerithi mengi,

hajakuhumu mtu ameuliza tu
 
Yes indeed - Ndiyo maana huwa nasema watoto wetu watafukua maiti zetu kuchunguza "skulls" kama tulikuwa na vichwa vya punda au ngamia! :A S angry:

hapana kwa kweli, nakataa kubebeshwa dhambi za walionizaa..............hata vitabu vya dini viko nami kwenye hilo. Kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake tu.
 
Unataka kuniambia mtu kama Genius Brain ataacha ufisadi? wapo wachache wanaweza kuacha na wakayafanya mambo yenye maslahi kwa taifa.

Vijana wangekuwa na fikra kama za akina Ndibalema na akina Kings nadhani hata watoto wa mafisadi nao watapevuka akili.
 
Unadhihirisha ulivyoacha kutumia akili ya kichwa ukatumia ya kwenye makalio. au kwa vile baba yako anavuna kifisadi hivyo huna kazi ya kufanya zaidi ya kula kulala? Angalia baba yako atamfuata Mramba. siku zenu zinahesabika.

Ninapenda kutoa tamko ( SIO TAMKO NI MAONI YAKO ) hadharani kuwa ninafuraha kubwa kutamka kuwa japokuwa anashinda kwa wizi ( HAKUNA WIZI UCHAGUZI ULIKUWA HURU NA WA HAKI ),Kikwete atakufa ( WEWE HUFI ?) akijua kuwa yeye si rais wa Kilimanjaro,Mwanza,Arusha,Mbeya,Iringa na Dar ( YEYE NI RAIS WA TANZANIA NZIMA ).
Kwa tamko hili simtambui jk ( ANATAMBULIWA NA KATIBA SIO WW ) kama rais kwani sikumchagua ( HUCHAGULIWA NA WENGI SIO MTU MMOJA ). Pia ccm ni chama mfu ( MFU ANAWEZAJE KUONGOZA?) hapa kwetu.
Pamoja na uchakachuaji ( KURA HALALI ZILIPINGWA NA KUHESABIWA KIHALALI) walioufanya ninayofuraha kumkubali Dr. Wilbrod Peter Slaa kuwa rais wangu ( HATAMBULIKI KIKATIBA ) na niko tayari kupokea na kutekeleza ( HANA RIDHAA YA WANANCHI ) yale yote atakayoagiza ( HAWEZI TOA MAAGIZO KWANI SIO RAIS ) pasipo kuuliza maswali
 
NI NGUMU KAMA NABII KUZALIWA TANDALE KWA MTOGOLE.Kwa kudhihirisha tu, hawa watoto wamekuwa vibaraka wa mafisadi kwa muda mrefu itakuwa vigumu kwa kukana maagizo yao wakishika madaraka.Huyu mduanzi mnayemuita Raisi (kwa maoni yangu namwita mwizi wa haki) nae alikuwa kibaraka wao tangia huko na ndo maana alipoingia madarakani KAWA JOKA LA KIBISA yaani kama mke wa mtu(waume ni rostam & Lowasa )!!! vivyo hivyo hata wao wakiingia madarakani.ILA NAWATAADHARISHA WAFANYE WANACHOJUA KWA SASA ILA CCM< HAITAKAA MADARAKANI MILELE, muda si mrefu zile grereza za keko, segerea,ukonga na nyinginezo watakuwa ndani, INGAWA KWA SASA WAO WANAONA NI IGUMU SANA JAPO KULIFIKIRIA HILO ila yanakuja... Ninauchungu sana na wewe Genius brain NAKUJUA NI NANI!!!!! ila utakunywa maji kwa KARAI siku moja.
 
Unadhihirisha ulivyoacha kutumia akili ya kichwa ukatumia ya kwenye makalio ( MAKALIO YANA AKILI KWANI HEBU NIONYESHE ?) . au kwa vile baba yako ( WEWE HUNA BABA, AU NYIE NDIO WATOTO WA MITAANI?) anavuna kifisadi ( HEBU SEMA MAVUNO YA KIFISADI YAKOJE?) hivyo huna kazi ya kufanya zaidi ya kula kulala ( WEWE HULI NA KULALA ?)? Angalia baba yako atamfuata Mramba ( KUMFUATA WAPI NIMWAMBIE HATA SASA HIVI AENDE?). siku zenu zinahesabika ( HI VI KUNA SIKU ZISIZO HESABIKA? KICHWA MAJI WEWE).
Anaamaanisha wewe na watoto fisadi ni vilaza, vikaragosi, wahujumu uchumi, wezi, ipo siku ( na si mbali) mtahukumiwa
 
Genius Brain...be civilized please, people are giving out their opinion, why are you keeping tacking them and criticizing all the time? what is wrong with you? Please and please once again stop that....i doubt! you must be among them and i guess you might be either January, Ridhiwani or Kibonde, i have such records of this kind of conversation and their cheap trick to hiding their identity. Stop it.
 
Back
Top Bottom