Vijana wakamatwa Mwanza kisa siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wakamatwa Mwanza kisa siasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MCHARA, Mar 4, 2011.

 1. M

  MCHARA Senior Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Polisi wanazunguka na difenda mjini hapa na wakikuta vijana wawili au zaidi wanaongelea siasa wanawakamata na kuwapakia kwenye difenda! Je amani ipo tena tz?
   
 2. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli hiyo?......wapige picha upost hapa
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  aaaaaaaaaaaaaah piga picha hiyo difenda waka hapo
   
 4. M

  MCHARA Senior Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  subiri picha mtapata wakibeba wengine kwan yaonekana ni mwendelezo!
   
 5. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Haiingii akilini hata kidogo hao watakua ni waharifu tu. Kwanza we uliye post hii thread haujawa wazi.
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :hand:
   
 7. s

  sawabho JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Sio rahisi kiasi hicho, labda hao vijana wamefanya kosa lingine kama ni kuongea mambo ya siasa tu mtu anakamtwa watakosa sehemu ya kuwaweka maana watakamata wengi sana.
   
 8. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Subiri wafunguliwe mashtaka ndo utujuze, ni makosa gani!!
   
 9. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,933
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Inawezekana mkuu, maana kipindi kile cha Mwembe Chai mkiongozana zaidi ya watatu utakuta ri afande rinawauriza, mbona mko zaidi ya watatu mnaongozana hamuandamani nyie?
   
Loading...