Vijana wakamatwa milimani wakipewa mafunzo

Vijana wakamatwa milimani wakipewa mafunzo

Ccm sasammefika tamati. Hizo mbinu zakizamani saaaana.

Zilitumika enzi ya Mahita alipoonesha mapanga aliyodai yameingizwa nchini na CUF. Wenye akiri tulimpuuza tu. Hivi nani alishtakiwa kwahiyo kesi yamapanga? Leo mnatuletea tena maigizo Yale Yale siyo.

Kwaufupi nikwamba watanzania waleo wameelimika sana tu hawarudi nyuma kwahuo upuuzi. Furahishaneni weeee ila jpili kazi tunamalizia.
 
Siasa za kitanzania hizo tunahakikisha chama kinabaki kwa vyovyote. Hata kuokoteza vijana mtaani na kuwapeleka milimani waonekane kuwa ni magaidi. Kama mliweza kununua majambia na mkasema kontena limejaa hii si kitu ndogo tu??
Ila, chonde chonde, ICC ipo na sidhani ka waliotumwa Tz ni vipofu kiasi hicho. Ninachoomba tu viongozi wangu, msituue tu ili mbaki madarakani. Hakuna uongozi wowote unaoweza kumfidia mtu uhai
 
Back
Top Bottom