Vijana waipasuwa CHADEMA Sumbawanga

Vijana waipasuwa CHADEMA Sumbawanga

failures hao!acha waende kwamamburula ccm!chadema watu joto-baridi hawawezi kukaa,sabu moto wake nikukomboa nchi kwamkolini mweusi ccm,naukombozi sio kitu lelemama,wanahitajika watu waliojitoa kweli,sio hawa wat-shirt naubwabwa!mtawaza sana kuhusu chadema mwaka huu,kuku jike nyie,pipoooooooooz pawaaaa mwendo mchibuyu hadi 2015!
 
sumbawanga kitu gani bana kwa chadema makamanda tumejipanga mbaya kabisa twendeni 2015 vijana wenye wasukuma mikokoteni sokoni watu wenye akili zao timamu hawawezi kurubuniwa hata kidogo kwali tulipofikia sasa watanzania sijuh kama kunafisadi hatakaye pona 2015 magamba wote chali
 
mkuu hargeisa!
wwe ndiye unajiita mwanasheria!!
very funny!
Hiz njaa kweli zinatufanya watumwa,watumwa wa kila kitu,tunaacha akili ndogo ifikir kwa niaba yetu,poleni sana wenye mtizamo hafifu,ni vizur sana kujipambanua kuliko kuvaa ngozi ya kondoo kumbe mbwa mwitu~huu huwa "UNAFIKI" mliohamana mmefanya vyema kwa kuwa ssa mmejipambanua kwani mwanzo mlikuwa WANAFIKI,lakini si tu wanafiki bali WANAFIKI WAKUBWA.
 
Katika mkutano mkubwa wa Sumbawanga mjini wa Mheshimiwa Aeshi, vijana wametoa ya moyoni yaliyowafanya wake

1. Shinikizo la baadhi ya wazee pasipo kuwa na dira halisi.
2. Sera za CHADEMA zinazohuribiriwa kinadharia pasipo vitendo.

Mfano mahubiri kutoka CHADEMA ya haki na uadilifu wakati CHADEMA hiyo hiyo imeshindwa kuleta haki na uadilifu halmashauri ya Karatu inayo ongozwa na CHADEMA.

Kwa hayo machache viana wameamua kurudi CCM wakiongozwa na Mwenyekit wa baraza la vijana wa CHADEMA wilaya ya Sumbawanga mjini, ndg Komba H. Komba na mjumbe wa baraza kuu taifa CHADEMA, kamanda Fumpa na mjumbe baraza la CHADEMA mkoa ndg Crissy.
.hivi kuna watu watu wajinga kama wafipa wa manispaa ya sumbawanga?shamba la efatha ha ha.
 
CHADEMA ni chama cha kilaghai. CHADEMA inawalaghai wananchi.
 
CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani.hakina jeshi,polisi,mahakama.hivyo bas anayejiunga na CDM ajue damu yake inahubiri ukombozi.mburula wa kuongozwa na aeshi!kweli wafipa ni wajinga duuh.msiniroge tu
 
Hao wanaorudi ni viongozi wanaosikilizia wapi kuna ulaji kwa wakati husika. Walikuwa wanasubiri hukumu ya kesi ya ubunge ili waamue wapi kwa kwenda, na wameenda CCM kumfuata Aeshi kwani walijua watakufa njaa CDM. Wanachama wa kawaida wasio na maslahi ya moja kwa moja kutoka kwa wanasiasa katu hawahami kumfuata mgawa fedha
 
Na Prof. Jay naye amefuata nini CHADEMA?

ccm_changia_prof_jay_A5-214x300.jpg
 
Amini amini nawa-ambieni hakuna kijana awaye yeyote anaye jitambua anayeweza kujiunga na Chama Cha Mashetani (CCM)
 
mkuu ngarerefijo!
wafipa si wajinga,mapambano wameyafanya sana,ndo maana aeshi alishindwa zaidi akachakachua kwa rushwa,na ukumbuke mahakama ilitupilia mbali ushindi wake,
lkn karudishiwa tena kimizengwe na mahakama,ndo maana wanamwita "mbunge wa mahakama" ,
KIUCHAMBUZI;
Serikali ya CCM imeona madhara wanayopata kisiasa hasa baada ya uchaguzi mdogo kufanyika kwamba wananchi wanapata nafasi ya kuelewa zaid kuhusu umuhmu wa vyama vya siasa na upinzani kwa ujumla na hivyo huikimbia CCM kwa wingi,ndo maana kesi nyingi wabunge wamerudishiwa ubunge hata baada ya kushindwa ktk kesi zao za awal,ona IGUNGA,SUMBAWANGA na hata Arusha kwa LEMA,hivyo tambua kuwa serikali haiogopi gharama(fedha) bali wanaogopa wananchi kupata upeo wa KISIASA.
 
Ulizeni alichofanyiwa kijana wa kihindi! Na bado nyie mnaopokea hizo buku 7 zake.
 
Na Prof. Jay naye amefuata nini CHADEMA?
Jay hajawahi kuwa mwanachama wa CCM. Kufanya kazi na CCM si lazima maana yake wewe ni mwana CCM. Hata mimi nimewahi kufanya kazi ya contract za ujenzi katika majengo ya CCM, lakini sio mwanachama wao
 
mkuu ngarerefijo!
wafipa si wajinga,mapambano wameyafanya sana,ndo maana aeshi alishindwa zaidi akachakachua kwa rushwa,na ukumbuke mahakama ilitupilia mbali ushindi wake,
lkn karudishiwa tena kimizengwe na mahakama,ndo maana wanamwita "mbunge wa mahakama" ,
KIUCHAMBUZI;
Serikali ya CCM imeona madhara wanayopata kisiasa hasa baada ya uchaguzi mdogo kufanyika kwamba wananchi wanapata nafasi ya kuelewa zaid kuhusu umuhmu wa vyama vya siasa na upinzani kwa ujumla na hivyo huikimbia CCM kwa wingi,ndo maana kesi nyingi wabunge wamerudishiwa ubunge hata baada ya kushindwa ktk kesi zao za awal,ona IGUNGA,SUMBAWANGA na hata Arusha kwa LEMA,hivyo tambua kuwa serikali haiogopi gharama(fedha) bali wanaogopa wananchi kupata upeo wa KISIASA.

Bora umenisaidia kumuelewesha huyu mbwiga anaesema wafipa ni wajinga...hivi kwa akili yake anajua ccm imeshinda sumbawanga? Na kama uchaguzi ukirudiwa hata leo hii ccm hawana chao hapo wanajua vizuri machungu ya kuachwa nyuma kimaendeleo tangu walivyofanya makosa enzi za Paul Kimiti... ngarerefijo don't just rule out kwa mtazamo wako mdogo ulotokana na hiyo post isiyo namashiko yoyote...maana mleta mada kaiweka kama kakurupuka usingizini, na kwa mtu makini hawezi kuanza kukurupuka na kurusha shutuma kama unavyofanya wewe.
 
Jay hajawahi kuwa mwanachama wa CCM. Kufanya kazi na CCM si lazima maana yake wewe ni mwana CCM. Hata mimi nimewahi kufanya kazi ya contract za ujenzi katika majengo ya CCM, lakini sio mwanachama wao

Hizo ni sarakasi mkuu Jabulani ambazo hata mtoto mdogo atazikataa.

No wonder why Dr. Slaa anaitunza kadi yake ya CCM lakini zile za wanachama wanaoujiunga na CHADEMA anazichoma moto na nyie mnaona sawa tu!
 
Last edited by a moderator:
Hizo ni sarakasi mkuu Jabulani ambazo hata mtoto mdogo atazikataa.

No wonder why Dr. Slaa anaitunza kadi yake ya CCM lakini zile za wanachama wanaoujiunga na CHADEMA anazichoma moto na nyie mnaona sawa tu!
Sasa ulitaka azitunze wapi kadi hizo wanazompelekea? Yeye (Slaa), ameitunza kadi yake ya CCM, hao wengine waliona hawana haja ya kuwa nazo majumbani ndio maana wakazirudisha (kwa Slaa), lakini pia hawakumwambia Slaa awatunzie. Sasa kwa nini asizichome moto?
 
Back
Top Bottom