Bepari la bariadi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 420
- 674
Ni miezi kadhaa sasa toka kampeni na uchaguzi mkuu wa USA kupita ambapo kundi kubwa la BAVICHA na kamati yake ya vigeregere kuonesha mahaba mazito kwa mgombea wa Republican huenda kuzidi hata raia wenyewe wa marekani kwa matazamio kwama ushindi wa Trump ungeleta matokeo hasi kwa watawala wa sasa katika nchi hii mara baada ya kumezeshwa kwamba ushindi wao wa uchaguzi 2015 uliporwa.
Hivyo basi kuamini kabisa kwamba Trump angeweza kuingilia masuala ya AFRICA hususani TANZANIA na kupelekea ushindi wao kurudishwa hatimaye kuongoza na kushika dola.
Swali ni je Matumaini yenu yapo hatua gani kwa sasa na vipi nikweli mlidhani kwamba America huwa inakurupuka tu linapokuja suala la diplomasia ya nje bila hata wao kuona linamasilahi gani kwao.
Majibu tafadhali.