Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Leo wakati naangalia E newz ya Eatv nimejikuta nawaza watu wengi wa Dar hasa vijana hawaongei kiswahili fasaha pamoja na kujitahidi kuremba sauti na madaha mengi.
Pia nimewaza JamiiForums ingekuwa ipo chini ya serikali jukwaa la siasa na habari mchanganyiko moderators wangekuwa wanafuta hadi baadhi ya comments.
Nimewaza siasa za Tanzania kutokana na milolongo ya matukio mbalimbali inaonekana wazi watanzania wengi hatujielewi hatuna misimamo hatujuhi tunasimamia nini.
Nimejiona tofauti sana.