Vijana Wa Sirro Wanaweza Hii Makambo?

Vijana Wa Sirro Wanaweza Hii Makambo?

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,106
FB_IMG_1545414978246.jpg
 
Wajameni huyo munaye muita jiwe ndo nani ?
Kuna mtanzania mmoja aliwahi kujiita jiwe...

Halafu kuna story ya mzee nyerere... Kuna binti mmoja alihitaji kuolewa sasa sharti lilikuwa unapoenda huko aliko ukiwa njiani usigeuke nyuma hata usikie vipi kelele za kuzongwa na watu... Maana ukigeuka tu unageuka kuwa jiwe na safari inaishia hapo....
 
Dah, Tz bado sanaaa, nakumbuka vile vigari vidogo vya polisi vilikuwa vingi kipindi flani, sijui walivipiga mnada?😀
 
Wanayo tu magereza ya kuwaweka wapinzani ila Kama ingekuwa wapinzani wanapondea angani wangewatumbulia uko uko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah, Tz bado sanaaa, nakumbuka vile vigari vidogo vya polisi vilikuwa vingi kipindi flani, sijui walivipiga mnada?😀
Passat walivichomoa spear mpaka vikapotea kabisa kwa uso wa dunia😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom