GE2025 Vijana wa Shinyanga wametusaliti nilijua tumeanza kazi kumbe wamelipwa

GE2025 Vijana wa Shinyanga wametusaliti nilijua tumeanza kazi kumbe wamelipwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
604
Vijana wa Shinyanga mjini wakiwa njiani kuelekea katika uwanja wa Kambaraje kwenye mkutano wa Mgombea Urais wa CCM Dk. Samia Suluhu Hassan.
 

Vijana wa mama walichofuata...
 
Hawajamsaliti mtu yeyote,
taarifa za kinachoendelea sasa hivi hawana.
Unajua kwa nini.

Vyombo vya habari viko upande mmoja,
Mitandao ya kijamii, mingi imefungiwa.
Jf, X(twitter).
habari za upinzani na makesi yao hazipewi kipaumbele.

Mtaani kila kitu ni UTU na KAZI.

Mitano tena.
 
Back
Top Bottom