Vijana wa kiume na kike tuwe wasafi jaman!

watu wako bize, chumba chenyewe wameomba, nyumba yenyewe ya kupanga wataoga wapi, acha zako hizo
tena kwa kuongezea choo na bafu vipo nje na hapo kibarazan kuna wale wamama wambeya wamekaa wanapiga soga mtaendaje kuoga au kunawa?ha h aha ,,,unajinyunyizia unyunyu kuoga kwenuuuuuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…