At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,557
- 3,628
Habarini Vijana Wenzangu.
Nimeamua kuanzisha uzi uwe maalumu kwa ajili ya vijana wa kiume ili tuweze kushauriana kuhusu mambo mbali mbali yanayotukabili sisi vijana katika nyanja mbalimbali za maisha.
Tuweze kushauriana katika masuala kama kazi, mahusiano, elimu na mengine mengi kama yanayotuhusi vijana.
Mnakaribishwa kwa moyo mkunjufu muweze kuchangia ili vijana tuweze pata ujuzi kupitia huu uzi.
Hata watu wengine mnakaribishwa kuchangia ili kudumisha ustawi wa vijana tuweze kusonga mbele kwenye jamii zetu.
Naomba kuwasilisha.