Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 994
- 1,895
Mabibi na Mabwana, vijana wa kiume na wakike, Asalaam Aleikum.
ITIFAKI IMEZINGATIWA.
Mimi siyo kijana, wala siyo mvulana bali mwanaume ninayeelekea umri wa kustaafu, miaka michache jayo ambayo ni takribani 10 hivi ili nistaafu kwa lazima. Kwa hiari nimebakiza kama miaka 5 tu.
Lengo la huu uzi ni ushauri kwa vijana hususani wa kiume, ( USIOE MWANAMKE MWENYE MTOTO)
Mimi nilifanya kosa hilo na nikamlea yule mtoto kama wa kwangu, na hata wadogo zake ambao nao ni watu wazima hawajui kama yule ana babake yake tofauti na wao, hii ni kutokana na ukweli kuwa nilimuoa mama yao huyu binti akiwa na miaka miwili na amekulia nyumbani kwangu nikamsomesha mpaka kumaliza chuo.
Ndugu yake ambaye ndo mtoto wangu wa damu naye amemaliza chuo. Anayewafuata hawa yuko chuo mwaka watatu na wa mwisho yuko form four baording school.
Mimi nimekuwa nikifanya kazi za kuhama hama sana na mara nyingi mke wangu anabaki pekee yake, kutokana na kuhama hama tumejikuta hatuko pamoja muda mrefu kwa maana ya yeye mke wangu na watoto wetu. Yeye ndo muda mwingi yuko na watoto. Sijutii kuhama hama kwangu kwa sababu kila mahali niliko pita nimeacha kitu kwa maana ya nyumba au kiwanja, mfano Arusha, Mtwara, Dar na Pwani.
Hivi majuzi tulitofautiana tena kwenye simu tu baada ya kumpigia simu saa tano nikagundua hayuko nyumbani hivo nikamwambia shamba Boy afunge geti na asichomoe funguo na kweli alifanya hivo, alivokuta geti limefungwa na halifunguki akampigia kijana simu ili amfungulie kijana akamwambia baba amesema nisifungue, akawapigia watoto wake simu nao wakanipigia wakanza alikuwa huyu wa kiume, lakini yeye aliongea kigentlemen zaidi na alielewa hisia zangu kama mwana mme.
Ila huyu wa kike ambaye ni mtoto wangu wa kufikia na ambaye nimemlea tangu akiwa na miaka miwili yeye moja alinipiga simu na kuanza kunigombeza na hata kutumia maneno yanayoendana na matusi juu yangu na mpaka sasa hata hajaonyesha kujutia na wala hajaniomba msamaha.
Nimejaribu kumpigia simu na kumwuliza kama kile alichofanya anaona ni sahihi, yeye akasema hakumbuki kama aliongea chochote.
Kwa sasa ndo nimeanza kuamini kuwa mwanamke akishaona watoto wanakuwa na wana kazi anaanza kutaka kutawala mwanaume.
Hali ninayopitia ni kama lile igizo la yule jamaa anaitwa Manyanya na Vailet. Lakini nimeshapata CODE kwa sababu yeye anafikiria kugawana mali ninachotaka kufanya nikumshawishi tuchukuwe mkopo mkubwa benki alafu tuweke dhamana ya nyumba zote.
Mimi nikishapokea tu mkopo nanua kiwanja sehemu nyingine najenga nyumba ambayo haijui alafu benki waje wapige mnada nyumba zote.
Kwa vijana acha kuwekeza sana kwa watoto wa mke wako kwa kudanganyana mnapendana hawa viumbe wanabadilika sana na hawajui wanataka nini katika maisha, Ukiwa na pesa atasema uko bussy na hauko romantic, ukiwa romantic bila hela watakuita marioo, hata kama kama ulikuwa unamgonga mpaka anapiga nduru atasema haumfikishi. Wekeza kwa maisha yako ya baadae.
Mimi leo nimetukwanwa na binti ambaye nimemsomesha kuanzia baby class mpaka chuo kwa hela zangu, hana mkopo wala nini lakini leo ananitukana. Kuna mahali niliona jamaa ansema ukioa mpare ni kama unacheza aviator na hela ya kodi ya nyumba.