Unachomaanisha kwamba hivi vitu vimeanza baada ya jiwe kuingia madarakani..??Mkuu Chimbuko la tatizo linaanzia "Ikulu"
- Influencers, Marketing, Media, Strong Men, Celebrities wana impact kubwa sana kwenye maisha ya watu.
Mtu yuko tayari kunywa Pepsi kwa kuwa Diamond kapewa pesa aseme ni soda nzuri.
Mtu anawekeza kwa Mr. Kuku kwasababu Joti kapewa pesa aseme ni uwekezaji mzuri ( ingawa yeye hawekezi huko ).
Unapokuwa na Rais ( ambaye maneno yanapewa uzito sana na media+makanisa+misikiti )anahamasisha ngono na kuzaana unategemea ngumbaru watakuamini wewe?
Rais anapo discourage matumizi ya lugha ya kiingereza ( kwa kuwa yeye hajui ) unategemea watu wahamasike kujifunza ?
Halafu, Anataka watu wakafundishe Kiswahili nje ya nchi ( Utafundishaje Mwanafunzi lugha yako wakati lugha yake huijui )
Binafsi Nilijitutumua sana kujifunza English baada ya kumwona Kikwete anaongea kwenye podia kubwa kubwa.
In Short, Baba/Mzazi ndio first role model wa wanao.
nipe faida mbili ulizopata tangu umeanza kusikiliza visingeri?Msitutishe, mtuache na visingeri vyetu
mbona washangaa??Aisee..
Tunadumisha mziki wa nyumbaninipe faida mbili ulizopata tangu umeanza kusikiliza visingeri?
ukishindwa wewe utakua mmoja niliowataja kwenye uzi....
Yes hilo ndo lengo la uzi na jamiiforums kama wapo watu wenye maisha na mawazo yaliyoganda basi wakisoma huu uzi watashtuka tu dunia ni Kijiji siku hizi......ila sio lazima ufikie level ya kitaifa kusolve changamoto zako mwenyewe na kuboresha ndicho cha msingi na hapo ndo mwanzo wa kila kitu...hata ngazi utaanza kupanda mojamoja mpaka utafika juu.....Mama anauza komoni,
Baba fundi baiskeli,
Kaka anakodisha Cd,
Dada kungwi,
Familia kama iyo kuitoa na kutaka iwe level unayotaka ki taifa.
Ni ndoto maana hakuna hata inspiration kushoto kulia kote hamna wenye msaada w kifedha Wala ono la biashara, wameridhika na dhiki maana wamezaliwa zinawatolea macho😲
nini faida ya kudumisha mziki wa nyumbani???Tunadumisha mziki wa nyumbani
..wewe ni mmoja wa watu niliowataja pale juu nenda kajisome utajiona.....Aise pilipili usioila yakuwashia nini,unavyotafsiri mafanikio sivyo mwenzako anavyotafsiri
Mind your own business.
Kujenga utamaduni wa kupenda vitu vya nyumbaninini faida ya kudumisha mziki wa nyumbani???
...toa chochote mkuu....Daah
utamaduni wa nyumbani ni upi???..Kujenga utamaduni wa kupenda vitu vya nyumbani
..seriously?? nani apoteze muda kufikiria ujinga unaoitwa mapenzi....alafu kesho ajui anakula nini....wewe nae upo pale kajisome...Mnapoachana na wapenzi wenu muachane jumla jumla sio mnarudiana rudiana mnatufanya sisi tunaosambaza habari tuonekane waongo
Stress tu