Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
Hatimaye baada ya kusota kwa mwaka mzima bila ya dhamana, leo mahakani Kisutu, vijana 6 wa JKT waliofunguliwa mashitaka ya kukusanyika bila kibali cha Polisi ( unlawfully assembly) wameachiwa kwa kupata dhamana.
Mawakili wa utetezi wametumia hoja nyingi ikiwemo hukumu mpya ya Mahakama kuu ambayo Wakili Jeremia Mtobesya alipinga nguvu za DPP kunyima dhamana.
Mawakili wa utetezi wametumia hoja nyingi ikiwemo hukumu mpya ya Mahakama kuu ambayo Wakili Jeremia Mtobesya alipinga nguvu za DPP kunyima dhamana.