Kwa sasa mi nipo igunga hapa ambapo vituko tofauti vinatokea,ila tukio lililovuta hisia za watu ni la kijana mmoja kumwagiwa tindikali,ambapo imebainika kuwa vijana wa greenguard chin ya nape ndio watuhumiwa wa tukio hilo,ambapo mmoja wapo alikamatwa na vijana wa chadema na kukutwa na tindikali lita kadhaa,then kazi moja walopewa ni kumwaga tindikali kwa watu ili kuteka hisia zawatu na kutupia mpira kwa chadema!
Mmh inaboa sana,tena sana ,hebu tungoje mengine yatayojiri tutajulishana wakuu
Mmh inaboa sana,tena sana ,hebu tungoje mengine yatayojiri tutajulishana wakuu