Vijana wa dotcom

Vijana wa dotcom

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
14,444
Reaction score
31,037
Wale watoto wa kiume wanaondika XAXA, XAWA, 10X,BAXI,UXIKU, K, POYEEEE, TANTEEE, VEEPEE, CHEZEIYAA, MYYY, amaiiizing, jamaniii, sio kwa kupendeza hukoo, baby ake, wa kuogeshwa siku ya kuzaliwa, Tunawatakia maandalizi mema ya mwaka mpya... POLENI

Screenshot_20161221-023252%7E2.png
 
Mwana wa kiume kujipenda kupiliza ina cost,unakuta njemba ina Viyebo vya kike mara heleni, mara kusuka nywele na dada zake mwishowe ushoga sasa.
 
Huyu akija kwenye bar ya kitaa nitamnunulia pombe bure, nipate kumbikiri[emoji39]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom