Vijana wa dotcom

mmmnh ni utoto tu...

unajaribu vitu vingi sana,kabla hujaanza kuyazoea mazingira ya utu uzima lol,

wengine hapa mlivaa mapensi na mabugaluu enzi zenu,afu mnamshangaa mwenzenu lol
 
Kama unataka niache kuchart na wewe tumia
P.
K
X

Ujinga kwa wajinga wenzao
Mnaweza kuta mnachart vizuri mwisho aanaanza pw au p wtf!! Akishafika hapo siendelei Na waweza usinisikie nakutafta tena xaxa kexho inakuaje hata sihangaiki Na texts zisizo kua Na maana
 
Jamani swali mbona wale
Askari wa zamani walikuwa wanavaa
Visiketi vinaishia kwenye mapaja!!??
Askari wa wakati wa Yesu na miaka endelevu
 
1482433784472.jpg

Sisi wenye watoto wa kike mbona pressure? ?
 
Back
Top Bottom