mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Mimi hua sijibu Na kama ntaamua kujibu naweza mvuruga next time asinitext xaxa naxema ile ixhu vepe aiseee sjui nan kafundisha ujinga huuMimi huwa sijibu kitu na akinipigia kuniuliza namwambia kabisa sijaelewa lugha uliyotumia kabisa, akijaribu kunielezea meseji yake hapo ndio namalizana naye kabisa kwa jibu hili.. ''mbona maneno unayoniambia sijayaoona kwenye hiyo sms yako?''