Vijana wa CDM Dar nao ku"OCCUPY" Jiji kuunga mkono wa Arusha?

Utanieleza nini mimi habari za Bonyokwa na Temboni kiwanja unapimiwa kwa miguu, kwanza Kimara hakuna mtu mwenye hati..

Kule hakujapimwa kaka mabondeni, na sehemu kibao tu nawakatia watu..

Bibi yangu yupo mtaa wa Mafia anakula bata tu kwenye nyumba yake..

Huna lolote wewe zaid ya kupigwa **** na Magamba tu
 
Makamanda nimepita Mlimani City hili kundi la vijana hapa round about sielewi hatma yao ni nini wanaimba Freedom is Coming tomorrow hakika nimejikuta nimejumuika nao hawa na hata koti sifuati kwani ukombozi ni lazima tuu eleweni huu ni Mpango wa Mungu watu hapa wanahasira sana.

i pray that it is true..DAR tuko tayariii...pipoooz pawaaaa
 
Tatizo bado Dar haijapata kiongozi type ya Lema... Mpambanaji. Mnyika akijaribu, pengine anaweza, lakini mwoga...
 
ww faiza foxy kwanza jina lako tuu linajionyesha wala aina haja ya kukujibu kwanza ww ni foxy kama ulivyojieleza tena ww ni foxy wa nape,plzz usinisababishie burn nimetoka kupigwa burn nimef unguliwa jana ww kama umezoea nape anakucameron kila cku usidhan na hapa jf kuna wala bata
 
CHADEMA hawana ujanja Dar. Wataishia kilomita 10 kutoka katikati ya jiji, tutawala mkong'oto mpaka wajue njia ya kuondokea, waambie wajaribu.

...kweli Tanganyika haiishiwi maajabu, 'mkong'oto' ndio njia pekee inayojulikana!
 
acha ambao wanaamini kwamba hatuwezi watasikia na kuona wenyewe ! wakati ndio huu wale wote ambao hawarithishwi na utendeji wa serikali hii ya kifisadi , tuungane pamoja.
 
dar kwa pamoja tunaweza, naamini dar ikilipuka tuu, then madai yanabadilika......

Kwa pamoja tuandike historia mpya ya Tanzania...
 
umaskini na ujinga uliopitiliza duniani ni uzito wa kufikiri,jf sio jamvi la watu wneye mawazo mepesi mepesi kama yako,nina wasi wasi sana kama kweli wewe unaishi dar es salaam...pole kwa uvivu wa kufikiri

Naishi Kibosho mkuu
 
dar ina asilimia ngapi ya wabunge?
Mimi ntakuwa wa kwanza kujitoa muhanga kwa ajili ya Chadema.
Haki ina gharama kubwa kuliko uhai
 
Jamani haya mambo hata nchi za wenzetu yalianza polepole ccm wamekuwa kama ndo wenye haki miliki na tz wasubirie moto utakaowaka maana hata police huwa nawashangaa sana maisha yao duni sana ila ndo wanakuwa wakwanza kupga watu
 
Back
Top Bottom