Vijana wa CCM msijilinganishe na Dkt. Magufuli, Siyo saizi yenu

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Unajua sisi vijana ndio huwa tunakosea. Usitamani kuwa mzee wakati wewe ni mtoto, pia acha watu wakusifie, kama hawata kusifia hata mawe yatanena.

Vijana wengi wa ccm wanatamani sana siku moja waje kuwa Marais ili wakimbize nchi kama Dr John Magufuli.

Wanadhani kifua alicho nacho Magufuli ni chepesi kama vifua vyao.

Ninacho weza waambia ni kwamba Dr Magufuli ni mtu wa ainanya tofauti sana, hata wazungu wanalijua hilo.

1. Ni msomi wa PHD.
2. Amepanda kwenye uongozi wa uadilifu na uchapaji kazi.
3. Ana uzoefu kwenye baraz la mawaziri kwa miaka kama 20.
4. Ana akili nzuri, ya kuelewa mambo na kuyatafutia ufumbuzi haraka kwa ufanisi.
5. Dr Magufuli siyo mtu wa bata, wala starehe.

Vijana wa ccm hawajui kwamba Magufuli amelala porini kwenye ujenzi wa barabara mara nyingi kuliko siku ambazo wao wamechelewa kutoka ofisini.

Uongozi unatemgenezwa, lazima vijana wakae kwenye miguu ya wazee wajifunze.

Sasa utasikia wanajisifia eti nimeacha alama dar es salama ambazo hazita futika milele.

Wakati bila magufuli kutishia kutumbua watu hakuna mradi ulio kua unatembea dar es salaam.

Vijana wa ccm na Chadema zingatieni haya.. kubalini kujifunza, kukua na kuwa na akili. Tamaa hazita tufikisha tunako hitaji kufika.

FB_IMG_1596403971652.jpeg
 
Maccm yote yako sawa tu hayana akili ya kuwatetea watz maendeleo kodi wanayokusanya inapotea km zile 1.5trn wakiulizwa eti sisi sio wazalendo......

Huu ni ukoo wa panya wote wako sawa tu
 
Yanawaza kula tuu

Kama lengo lako lilikuwa kumsema makonda ungempigia tu simu umchane moja kwa moja.
 
Ndio maama vijana wengi walitia nia ili kusudi waonwe kwenye teuzi baada ya chaguzi.Badala yake wameishia kufyekwa mshahara
 
Vijana mihemko, mingi ukweli wengi hawana maarifabya kazi.. wanatukia tui mambo.
Ndio maama vijana wengi walitia nia ili kusudi waonwe kwenye teuzi baada ya chaguzi.Badala yake wameishia kufyekwa mshahara
 
Unajua sisi vijana ndio huwa tunakosea. Usitamani kuwa mzee wakati wewe ni mtoto, pia acha watu wakusifie, kama hawata kusifia hata mawe yatanena.

Vijana wengi wa ccm wanatamani sana siku moja waje kuwa Marais ili wakimbize nchi kama Dr John Magufuli.

Wanadhani kifua alicho nacho Magufuli ni chepesi kama vifua vyao.

Ninacho weza waambia ni kwamba Dr Magufuli ni mtu wa ainanya tofauti sana, hata wazungu wanalijua hilo.

1. Ni msomi wa PHD.
2. Amepanda kwenye uongozi wa uadilifu na uchapaji kazi.
3. Ana uzoefu kwenye baraz la mawaziri kwa miaka kama 20.
4. Ana akili nzuri, ya kuelewa mambo na kuyatafutia ufumbuzi haraka kwa ufanisi.
5. Dr Magufuli siyo mtu wa bata, wala starehe.

Vijana wa ccm hawajui kwamba Magufuli amelala porini kwenye ujenzi wa barabara mara nyingi kuliko siku ambazo wao wamechelewa kutoka ofisini.

Uongozi unatemgenezwa, lazima vijana wakae kwenye miguu ya wazee wajifunze.

Sasa utasikia wanajisifia eti nimeacha alama dar es salama ambazo hazita futika milele.

Wakati bila magufuli kutishia kutumbua watu hakuna mradi ulio kua unatembea dar es salaam.

Vijana wa ccm na Chadema zingatieni haya.. kubalini kujifunza, kukua na kuwa na akili. Tamaa hazita tufikisha tunako hitaji kufika.

View attachment 1525980
Wewe nae kenge tu
 
Mkuu, "you have nailed it". Magufuli no mtu sahihi aliyelifikisha taifa letu lilipo hivi sasa. Huyu ni mfano wa Hayati Benjamin Mkapa na Mwalimu Nyerere. Ni mtu wa matendo wala si wa "mere words".

Tunamletea Tundu Lissu ili Tu kumfabya kuwa bora zaidi kiutendaji na kiutawala. Hakuna mashaka yoyote yale juu ya uzalendo wake kwa nchi yake, Magufuli si tu mtu sahihi, bali pia ni wa mfano wa kipekee wa kuigwa.

Kweli historia ameindika kwa wino wa dhahabu. Pamoja na kasoro zilizopo ktk utawala wake, bado wapinzani wake itawapasa kufanya vya kutosha ili waweze kufunika mazuri yake. Lissu ama Membe, huu ni mtihani mkubwa kwenu.
 
Back
Top Bottom