kulunalila
Member
- Dec 1, 2011
- 43
- 6
Kwanini vijana wa kizazi hiki hatuna uthubutu, kwanini ni vigeugeu. Hatuna nidhamu ya kazi, hatuna uzalendo,hatuna malengo,hatuna subira. Natoa wito vijana wenzangu tusimame tuitetee nchi yetu,tuilinde nchi watu wake na rasilimali zake kwasababu kizazi cha miaka hamsini ndo kinaondoka. Tutekeleze wajibu wetu popote tulipo katika maeneo yetu ya kazi
Ni vigumu sana vijana kujituma na wakafanikiwa chini ya huu utawala mbovu wa serikali ya waizi akina jk!Kwanini vijana wa kizazi hiki hatuna uthubutu, kwanini ni vigeugeu. Hatuna nidhamu ya kazi, hatuna uzalendo,hatuna malengo,hatuna subira. Natoa wito vijana wenzangu tusimame tuitetee nchi yetu,tuilinde nchi watu wake na rasilimali zake kwasababu kizazi cha miaka hamsini ndo kinaondoka. Tutekeleze wajibu wetu popote tulipo katika maeneo yetu ya kazi
Naunga mkono hoja kwa asilimia zote! Vijana tuamke, tusimame na kuhakikisha tunaiondoa serikali hii dhalimu na kuweka serikali ya umma. Otherwise tutabaki kulalamika na kunyonywa hadi uzeeni.....Vijana wakiamua wanaweza, kwa kuanzia labda niwashauri vijana wenzangu ni kuanza na mkakati wa kuipindua serikali ya waizi kwa njia yoyote ile, either kwa njia ya kura, au mapinduzi ya nguvu ya umma!
....Watu tunaanzzisha miradi tunakamatwa eti tunachafua mji
sasa tufanyeje?