Ninathubutu kutamka kuwa vijana tunaliangamiza taifa kwa haya yafuatayo. Vijana wa leo badala ya kuwaza Taifa letu linatoka wapi na linaelekea wapi, sisi tumekuwa vinara wa kuhubiri mauwaji na wapuuzi kibao kushabikia.
Mfano kuna madiwani walisema CCM walipanga kuwalipua akina Slaa kule Shinyanga, bila aibu vijana wa Chadema wakawa mstari wa mbele kueneza upuuzi huo. Ninauita upuuzi kwani hakuna Vielelezo thabiti. Haya akajitokeza Mchange naye oh Chadema walimuuwa Chacha, Mwangos na wengine wengi na kuna vijana wanaowatumia katika mauwaji yao, hili nalo baadh ya vijana wa CCM tumekomaa nalo utazani kuna ushahid/vielelezo vya mjazo.
Binafsi ninawashangaa sana Taifa lina mambo kibao yanayotukabili na sisi kama vijana badala ya kujadili mambo muhmu yanayolikabili taifa eti tunashadadia mauwaji? Ivi kuna atayeishi milele? Binafsi napenda tushindane kwa hoja ila inapotokea tumeishiwa hoja/sera tulaleni nyumbani tu sio unakurupuka mitandaoni na kwenye media ukihubiri mauwaji huu ni upuuzi.
Vijana wa vyama vyote tuna tabia hizo nashauri tujipime na tuziache. Nashangaa eti vyama vimekaa kimya vikiwaacha vijana wao wakiivuruga nchi. Fikilia Familia ya Mbowe na ile ya Wangwe watafikiliana vip? Je hawatataka visasi? Tambueni kuwa ULIMI NI KIUNGO KIDOGO LAKINI.......