Vijana tunakwama wapi??

Vijana tunakwama wapi??

Maisha yako kasi sana lkn pia usidhani hio laki tatu na nusu ya mwaka 1989 ilikua ni ndogo mkuu,kulikua na kujifunga mkanda hapo hatari.

Fikiria kama miaka ya 1998/99 hapo mshahara wa manesi kwa mwezi ulikua ni Tsh.36,000 na mtu anaishi fresh tu,secondary schools za serikali hio miaka ya 2000's ilikua Tsh.20,000 tu kwa mwaka na watu walikua wanarudishwa nyumbani wameshindwa kuilipa ada,ndo utajua Tsh.350,000 ya mwaka 1989 ilikua sio ndogo mkuu.

Ila pia umesema kweli lifestyle ya sasa inachangia kuchelewa kujenga.
Ni kwl mkuu ila kuna sehemu kuna tatizo.......
 
Zamani watu walikuwa wanawahi kuoa ndoa za heshima siku hizi utakuta mtu anamiaka 40 lakini bado hajaoa unazani ataona umuhimu wa kujenga?
Yn mtu yupo na 40 lkn bado anajiona msela......
 
Siku hizi wengi hatujengi sababu kumiliki gari ndio fasheni mjini hapa..
Unajua kuwa wachache sana wana uwezo wa kumiliki gari na kuba akiwa na pesa ya ziada ya kusukuma ujenzi sasa mtu net take home milion moja unasukuma crown cc2500..
Umepanga apartment laki 4 kwa mwezi totoz kwa sana nini kuna kujenga hapo unabaki na kiwanja miaka nenda rudi unaenda kukitazama kama mgonjwa
 
Nijenge nyumba wakati nalala ndani,nyumba wajenge wasiokuwa na pa kulala
 
Back
Top Bottom