miambovu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 375
- 789
Nimegundua sikuhz vijana wengi hatuwezi kujenga nyumba,nini ipo tabu???tunakwama wapi kwani??? mbona wazee wetu zamani unasikia "alikua muuza karanga na ana nyumba yake nzuri tu kajenga au alikua fundi viatu lkn ana nyumba yake kajenga"ila sisi baadhi yetu tuna kipato kizuri tu lkn kusimamisha mjengo mpk upambane kweli kweli.....
.TUSAIDIANE mawazo.....
.TUSAIDIANE mawazo.....