Leo huyo muuza karanga akijenga ataitwa freemason mkuu.Hahahahaaaa kabisa mkuu hata hizi nyumba ndogo ni shidaa kwa kweli
Halafu hawa Serengeti light ndio wanatufirisi kabisa.Pombe gani unakunywa hulewi.
Nadhani nimeeleweka.
Kweli aisee!Piga k vant mkuu ukilishusha yotee chaliiii
Hilo haliwezekani.Hahah hebu acha kwa miezi 6 kunywa hizo Light uone kama utakua umejenga nyumba yako mkuu.
Hilo haliwezekani.
Bora nisijenge tu.
Eti wanasema bia moja tofali mbili!Hahah hebu acha kwa miezi 6 kunywa hizo Light uone kama utakua umejenga nyumba yako mkuu.
Nimegundua sikuhz vijana wengi hatuwezi kujenga nyumba,nini ipo tabu???tunakwama wapi kwani??? mbona wazee wetu zamani unasikia "alikua muuza karanga na ana nyumba yake nzuri tu kajenga au alikua fundi viatu lkn ana nyumba yake kajenga"ila sisi baadhi yetu tuna kipato kizuri tu lkn kusimamisha mjengo mpk upambane kweli kweli.....
.TUSAIDIANE mawazo.....
Mimi baba yangu ana nyumba kalii sanaa na kubwaa sanaa ina room Tano za kulala,,sitingroom,dining hall,kivaranda kikubwa cha kupumzikia kwa nje,,Jiko kubwaa,stoo mbili,maji,vyoo,kisima kikubwaa,,sinki la vyombo na kazungushia ukuta kama wa Berlin na bonge la geti...ile nyumba mzee wangu anasema alijenga yote ile kwa gharama ya laki tatu na nusu tuu ilikuwa mwaka 1989 wakati huo akiwa mwajiriwa na mke wake ambae ni mama yetu akiwa mfanyabiashara wa mgahawa na kibanda cha matunda...ile nyumba ukiileta kwa thamani ya sasa hivi kuanzia gharama ya kile kiwanja mpaka kukamilika sio chini ya milioni 100....
Nadhani kwa sasa hivi Mambo yamekuwa mengi na upatikanaji wa fedha ni Mgumu pia vijana kwa sasa hawaoni kama kujenga ni fasheni sasa hivi fasheni ni Gari,smrtphone,mavazi wakati zamani mzee wangu anakwabia ilikuwa ukishaoa tu lazima ujenge hata kibanda cha kuishi na mkeo...hapakuwa na mambo ya nyumba nyingi za kupangisha kama sasa hivi...unakuta mtu kapanga apartment analipa milioni,,ana gari ya milioni 15 simu ya laki saba,,mavazi ya garama ila hana nyumba ..ingekuwa zamani ina maana hiyo M15 ya gari,,hiyo kodi m1 na simu na mavazi angezitia kwenye ujenzi
Mkuu upo sahihi kabisa ina maana huu ubishoo wetu ndo unatumaliza wenyewe....Mimi baba yangu ana nyumba kalii sanaa na kubwaa sanaa ina room Tano za kulala,,sitingroom,dining hall,kivaranda kikubwa cha kupumzikia kwa nje,,Jiko kubwaa,stoo mbili,maji,vyoo,kisima kikubwaa,,sinki la vyombo na kazungushia ukuta kama wa Berlin na bonge la geti...ile nyumba mzee wangu anasema alijenga yote ile kwa gharama ya laki tatu na nusu tuu ilikuwa mwaka 1989 wakati huo akiwa mwajiriwa na mke wake ambae ni mama yetu akiwa mfanyabiashara wa mgahawa na kibanda cha matunda...ile nyumba ukiileta kwa thamani ya sasa hivi kuanzia gharama ya kile kiwanja mpaka kukamilika sio chini ya milioni 100....