Vijana tuna lakujifunza kwenye sakata la Sabaya na Makonda

Kila jambo linalotokea ktk mazingira yako huwa ni somo ukiwa na akili. Wakati Aliyekua RC wa Dar es Salaam Paul Makonda alipoondolewa watu ktk mitandao ya kijamii walilipuka kwa shangwe na nderemo. Na hata leo baada ya Mh. Rais kumsimamisha Aliyekua DC huko Wilaya ya Hai bwana Sabaya tumeshudia furaha na sherehe kubwa ktk mitandao ya kijamii. Niweke bayana tu kua hawa sio viongozi pekee kuwahi kuondolewa ktk nafasi zao kwa miaka ya karibuni, wengi wameondolewa lkn kwakweli reaction ktk jamii haijawahi kua kubwa kama kwa hawa mabwana wawili.
Tafsiri rahisi tu ni kua hawa watu wametumia vibaya madaraka yao kuumiza na kukandamiza watu, wamewatenda vibaya watu aidha kwa matendo au kwa vinywa vyao na hivi sasa wanavuna walichopanda.
Rai yangu kwa vijana haswa mnaopata nafas za kuongoza watu ktk ngazi yoyote ni kuishi na watu vyema, kuwaongoza huku ukijua hayo madaraka ni dhamana ya muda mfupi na uyatumie kujijenga au kujibomoa. Kwa sisi waislam tunafunzwa kua dhamana ulonayo ujiandae kujibu vp uliitumia, hivyo tujipange huku tukifaham fika kua tutaulizwa na Aliyetuimba. Lkn pia ujue wewe kupewa nafasi ya kuongoza watu haina maana kwamba u mbora kuliko wao, ama una elimu kuubwa kuwashinda, ama una akili na iq kuubwa sana, ujue ni dhamana ya muda tu na ipo siku utaondoka kwa namna yoyote iwe kutangulia mbele ya Muumba ama kuondolewa.
Bila shaka kina Ally Hapi na Chalamila wana lakujifunza sema ni wakaidi huwa wanajitiaga u

E83C4449-8FD5-4655-915D-ED84CF0A7B35.jpeg
 
Bila shaka kina Ally Hapi na Chalamila wana lakujifunza sema ni wakaidi huwa wanajitiaga upofu.
Makonda Sabaya na Ally Happy waliharibiwa sana na mwendazake kwa kuwa naye pia alipenda matumizi ya mabavu katika uongozi zaidi ya akili. Walichopanda ndicho walichovuna au watakachovuna (Happy).
 
Ilikuwa ni aibu kwa taifa kuwa na viongozi type hii.Hawa ni majambazi waliojifichia kwenye ukali wa kuumiza watu Ili kumfurahisha mwendazake.Mimi ningekuwa nimezulumiwa nao walivyo raia kwa sasa ningezaa nao wangetema walichokula.Hawana ulinzi wala mabaunsa waliojitambia nao.
 
Sema tu mambo ya kulindana tu lkn kwa nchi za wenzetu ilitakiwa wawe jela ndani miaka 6 wakisubiria ushahidi kukamilika.
 
Kila jambo linalotokea ktk mazingira yako huwa ni somo ukiwa na akili. Wakati Aliyekua RC wa Dar es Salaam Paul Makonda alipoondolewa watu ktk mitandao ya kijamii walilipuka kwa shangwe na nderemo. Na hata leo baada ya Mh. Rais kumsimamisha Aliyekua DC huko Wilaya ya Hai bwana Sabaya tumeshudia furaha na sherehe kubwa ktk mitandao ya kijamii. Niweke bayana tu kua hawa sio viongozi pekee kuwahi kuondolewa ktk nafasi zao kwa miaka ya karibuni, wengi wameondolewa lkn kwakweli reaction ktk jamii haijawahi kua kubwa kama kwa hawa mabwana wawili.
Tafsiri rahisi tu ni kua hawa watu wametumia vibaya madaraka yao kuumiza na kukandamiza watu, wamewatenda vibaya watu aidha kwa matendo au kwa vinywa vyao na hivi sasa wanavuna walichopanda.
Rai yangu kwa vijana haswa mnaopata nafas za kuongoza watu ktk ngazi yoyote ni kuishi na watu vyema, kuwaongoza huku ukijua hayo madaraka ni dhamana ya muda mfupi na uyatumie kujijenga au kujibomoa. Kwa sisi waislam tunafunzwa kua dhamana ulonayo ujiandae kujibu vp uliitumia, hivyo tujipange huku tukifaham fika kua tutaulizwa na Aliyetuimba. Lkn pia ujue wewe kupewa nafasi ya kuongoza watu haina maana kwamba u mbora kuliko wao, ama una elimu kuubwa kuwashinda, ama una akili na iq kuubwa sana, ujue ni dhamana ya muda tu na ipo siku utaondoka kwa namna yoyote iwe kutangulia mbele ya Muumba ama kuondolewa.
Bila shaka kina Ally Hapi na Chalamila wana lakujifunza sema ni wakaidi huwa wanajitiaga upofu.
Unapo sema sisi waislam inamaana waislamu wote wanajua kuongoza na wasio waislamu hawajui... Wewe ni mdini ongea kwa nafsi yako dini ni imani mtu binafsi kunawaislamu wezi wavivu walevi waasherati. wauaji n. K kamadini zingine dini idihusishwe na hurka ya mtu hurka hsijalishi unadini gani tabia ni mazoea
 
We Sabaya nnajua unawaza utakavyonye kwenye ndoo na akili imezamia huko, jisahaulishe utakavyolewa huko magereza then usome tena ukiwa na akili zako zile za kukwapua
 
Back
Top Bottom