Vijana tukishika madaraka tulete MABADILKO

mndeva

Member
Aug 18, 2011
18
1
Ni muda mrefu tangu tuanze kutoa lawama juu ya WAZEE ambao wamwshika madaraka kuwa hawatuwezeshi vijana hasa katika kutujenga ili tuweze kukubalika katika soko la ajira. Hivyo natoa rai kwa vijana waliopata nafasi ya kushika nafasi (utawala) ambapo anaweza kuleta mabadiliko basi tusizichezee ili tuweze kuokoa vijana walio wengi ambao hawana mwelekeo.
Vijana wenye stashahada na shahada ni wengi lakini milango ya ajira ni mugumu mno hata upige na "fatuma" haivunjiki. Vijana tupendane na kuwa na mshikamano. "TUNAWEZA".
 
Kwenye swala la wasomi wengi bila ajira nakushauri ufatilie origin na purpose ya MUNGIKI utaona wasomi wa Kenya wasio na ajira wanatafuta maisha mazuri kwa maskini wa Kenya ila kundi hili linazushiwa maouvu pasipo kuzingatia intention ya wasomi hawa. Tazama hii documentary ya mungiki tafathali:Naamini ipo siku wasomi wasio na ajira Tanzania watasimama pamoja na kutoa sauti moja. [video]www.youtube.com/watch?v=1EMFUxA0zS0[/video]
 
Back
Top Bottom