Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,227
VIJANA TUFANYE KAZI
Vijana wengi hapa mjini wanapenda starehe na maisha ya maigizo wakati hawataki kufanya kazi, Kazi yao kusifia wanaowapa lift na kuwanunulia msosi na vinywaji,Kutwa kuponda watu wanaofanya kazi wanazoziita za kipuuzi wakati wao hawana kipato,
Wengi najua hamna majukumu, siku mkiyapata majukumu hata vyoo mtafagia bila aibu ili mlishe familia zenu. Kazi ni kudiscuss vipato vya watu, kudiscuss wasanii wa muziki nani mkali zaidi wakati muda unakimbia. Mwaka unaisha kwa speed sana huu.
BEWARE , time speaks mkizeeka ndio majibu mtayaona
Kumbuka watu wenye akili nzuri huwa wanajadili mawazo endelevu ya kujikwamua. Watu wenye akili ndogo hujadili matukio muda wote kama shows za muziki. Watu wapuuzi sanaa wao hujadili mambo ya watu na kuongelea maisha ya watu muda wote. Maisha yako yanajengwa na wewe. Usitafute mchawi.