Vijana someni course hizi za afya mtanishukuru

Sisi tunawataka hawa wa Sudan , wakinaliza tubaki NAO, Full stop
 
Anesthesia
Biomedical Engineering
Dialysis

Hizi Programmes hata utumishi hawajazitengenezea mfumo mzuri wa kuajiriwa angalau hiyo Bio Engineering ajira za juzi tu hizi nionyeshe nani Anesthezia na Dialysis technician kaajiriwa!??

Hawa wengi wanachukuliwa waliopo kazini hasa Clinician na Nurses wanapowe short courses tu wanakuja sukuma hizo mishe
 
Juzi tu hapa serikali imetoa ajira elfu tano badala ya elfu nane, majibu hawana, visingizio vingi.

Waanasema mara mchakato unaendelea, baadae waziri anajichanganya kwamba kuna kozi waombaji hawakutosheleza ni uwongo mtupu.

Soma hizo kozi kwa manufaa yako, usitegemee ajira, serikali sikuhizi wamekuja na mfumo wa kujitolea tu mlipwe nusu mshahara, ndugu zao ndio wanawapa hizo ajira.

Upande wa private ni majanga tu unyonyaji unashamiri.
 
Zipo lakini ndio wanatoa chache sana mfano biomedical engineering wameajiriwa wawili(2) kati ya hizo elfu tano
 
Zipo lakini ndio wanatoa chache sana mfano biomedical engineering wameajiriwa wawili(2) kati ya hizo elfu tano
Ndio maana yangu iko hapo jamaa anasisitiza wasome ilihali Utumishi tu huko hawachukui au wanachukua kiais kidogo sana!!


Sasa ndio Programmes za kumwambia mtu asome kweli!?? Mimi nitakushauri usome Nurse kati ya EN na RN hii programmes huwa haiachi watu
 
Mkuu kila sehemu majanga tu hyo nursing wanachukua wengi lakini kutokana na idadi yao duhh.

Kila mmoja asome vile anaona inafaa.
 
Kila siku serikali inabadili vipaumbele, unaweza Kuona kozi flani Ina demand ukija kuangukia pua, binafsi kozi niliyosoma udsm nikiwa 1st year mwaka wa nne kama hawajamaliza final ue Kuna kampuni zilikua zinakuja kabisa chuo wanapewa mialiko ya interview, Yani mtu hujagraduate unakuta una offer za kazi kama mbili tayari... Ila nilipofika mwaka wa tatu mambo yakabadilika kupata kazi ikawa mbinde asikuambie mtu
 
Tofoutisha RN ni aina gani na AN ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…