Mkuu katika comment zote we ndio umelenga penyewe. Hili ndio kubwa linalomsumbua mleta mada. Hata ufanye nini, ukishaishi na mwanamke miaka 10+ na watoto wanne umemzalisha, ni ngumu mnoooo kupiga hata kimoja tuu achilia mbali kurudia. We mleta mada ukitaka kujua kama uko fiti au laa, hebu siku moja tafuta kabinti kazuri ka miaka kati ya 20 -23 hivi, kawe maji ya kunde sio keupe, na kashepu ka wastani, yaani kawe na vinyama nyama, kalaini laini hivi.. Jifungie nako mahali siku mbili halafu uje hapa ulete mrejesho..!