chakubangamkoloni
Member
- Dec 17, 2015
- 77
- 43
- Thread starter
- #21
Ndio zipo za kumwagaKwa hiyo kwenye ndoa ndio Baraka zilipo
Acha utani bhasi
Sina mpango huoTuoe ili iweje? Wakati wewe mwenyewe unatamani kumpa talaka mkeo uoe baby mama.
Weee kitunguu wewee muogope MunguTuoe ili iweje? Wakati wewe mwenyewe unatamani kumpa talaka mkeo uoe baby mama.
Utaki kuoa wwnyie motivational speakers mlianza na kutwmbia tusome vitabu, mkahamia kwenye time management, mkaja mind your business sasa mko kwenye ndoa.
asanteni sana.
Wewe makabeji nitakutengeneza kachumbari sasa hiviWeee kitunguu wewee muogope Mungu
Kenzy kuja huku uone🤔Wapendwa ngoja nikwambieni,
1.Nilipokuwa sijaoa sikuwa na mawazo mapana ya kufanya maendeleo kwa haraka kwa kuwa nilijiona kijana na napambana pole pole kufikia malengo yangu lakin lakini nikajikuta natumia nguvu kubwa mno kwenye kutafuta pesa
2.nilipokuwa sijaoa nilikuwa naogopa majukumu ya familia na napata pesa lakin nikiganya biashara sifanikiw mafanikio ninayotaraj
3.nilikuwa nikikopa hela kwa ajili ya biashara inakuwa ngumu mno kuisimamia na hatimaye hufa mf Kuna wakati niliwahi fungus duka la vyakula likafa, nikanunua hiace nzima tu kwenye kampuni fulani sikukaaa nayo ikafa
4.kila kitu kinakuwa kigumu na nikitembea na bint nahisi kupewa ngoma nakosa amani vibaya mno
Ijapokua mke wangu wa kwanza nilikua nikiishi nae cjafunga ndoa hapo! Ndipo 2018 nikaamua kutoa posa na kufunga ndoa mambo yakaanza kuchange ikawa hivi
1.nikapata wazo la kuanzisha kiwanda kidogo Cha kuchakata sembe walau 10 tones per day , nikaweza
2.nikaongeza vingine bili mwaka 2019
3.nikaoa mke wa pili mwaka huo huo 2019
4.2020 nikajaliwa kumpata kibanda
5.najikuta napata hela bila ya kuumiza akili Sana au kufosi king
6.ibada ikawa sehemu ya Maisha yangu
Sasa nimegundua Kuna fadhila nying sana za ndoa ambazo mungu anakuletea hasa ikiwa umepata bahat mke/wake ulonao wakiwa wametulia na hata wewe ikiwa muadilifu
Lengo la Uzi huu mi kuelimishana juu ya fadhila za ndoa
Nakaribisha maoni waliobahatika na wanaotafuta
Unaniimarisha Safi sanaPOINT YA KWANZA TU UMEFELI
1.Nilipokuwa sijaoa sikuwa na mawazo mapana ya kufanya maendeleo kwa haraka kwa kuwa nilijiona kijana na napambana pole pole kufikia malengo yangu lakin lakini nikajikuta natumia nguvu kubwa mno kwenye kutafuta pesa
"Not everything is for everybody"
Usitengeneze Mana ntakuja na pilau tukamilishe ladhaWewe makabeji nitakutengeneza kachumbari sasa hivi
Muda si mrefu tutaoa tu.Wapendwa ngoja nikwambieni,
1.Nilipokuwa sijaoa sikuwa na mawazo mapana ya kufanya maendeleo kwa haraka kwa kuwa nilijiona kijana na napambana pole pole kufikia malengo yangu lakin lakini nikajikuta natumia nguvu kubwa mno kwenye kutafuta pesa
2.nilipokuwa sijaoa nilikuwa naogopa majukumu ya familia na napata pesa lakin nikiganya biashara sifanikiw mafanikio ninayotaraj
3.nilikuwa nikikopa hela kwa ajili ya biashara inakuwa ngumu mno kuisimamia na hatimaye hufa mf Kuna wakati niliwahi fungus duka la vyakula likafa, nikanunua hiace nzima tu kwenye kampuni fulani sikukaaa nayo ikafa
4.kila kitu kinakuwa kigumu na nikitembea na bint nahisi kupewa ngoma nakosa amani vibaya mno
Ijapokua mke wangu wa kwanza nilikua nikiishi nae cjafunga ndoa hapo! Ndipo 2018 nikaamua kutoa posa na kufunga ndoa mambo yakaanza kuchange ikawa hivi
1.nikapata wazo la kuanzisha kiwanda kidogo Cha kuchakata sembe walau 10 tones per day , nikaweza
2.nikaongeza vingine bili mwaka 2019
3.nikaoa mke wa pili mwaka huo huo 2019
4.2020 nikajaliwa kumpata kibanda
5.najikuta napata hela bila ya kuumiza akili Sana au kufosi king
6.ibada ikawa sehemu ya Maisha yangu
Sasa nimegundua Kuna fadhila nying sana za ndoa ambazo mungu anakuletea hasa ikiwa umepata bahat mke/wake ulonao wakiwa wametulia na hata wewe ikiwa muadilifu
Lengo la Uzi huu mi kuelimishana juu ya fadhila za ndoa
Nakaribisha maoni waliobahatika na wanaotafuta
Hao wake wawili watakufilisi na kukuvuruga ni swala la muda tu.Wapendwa ngoja nikwambieni,

Ni kweli kumpata type yako inasababisha kuonja onja Sana Kam jogoo! Pia kichwan weng hawako smart ni urembo tu wamepewa
Ntawavuruga kabla hawajanivurugaHao wake wawili watakufilisi na kukuvuruga ni swala la muda tu.
Ukibahatika si Kila aliye na ndoakwa hiyo kila aliye kwenye ndoa mambo yake yana muendea vzuri..,kama yanavyo kuendea wewe?